gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Ok kwa taarifa ila hapo kwenye picha naona 1.5 ndo nyaraka ina page 1.5 au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi kali
Mkuu kama ndio hivyo basi umenifumbua macho, sikuwahi kulifahamu hilo..MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
Alieanzisha hiyo katuni ni Kipanya. Kuamua katuni ipi itoke na ipi isitoke ni akili nyingi sana na ndiyo huitwa "uongozi bora".Mkuu kama ndio hivyo basi umenifumbua macho, sikuwahi kulifahamu hilo..
Masoud ni geniusHii kibokoView attachment 797477
Mmeshaanza figisu...masoud ameanza kuchora kipanya tangu enzi za "no internet" na ameendelea kubamba mpk leoMSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.
Labda nnikuulize Masoud ameanza kuchora katuni lini....???MSIMPE SIFA ZOTE YEYE...yeye ni mwanzilishi tu wa hiyo brand ya kipanya, lkn kuna ofc kabisa vijana wameajiriwa...ndo huwa wana brainstorm na kuchora, tena katuni nyingi then zinapigiwa kura kwenye group lao la whatsapp, masoud anaidhinisha. hana akili zozote kukuzidi ww mtoa mda.