Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Katuni za Masoud Kipanya (Special thread)

Yaan kwa hali aliyokua nayo huyo mpiga penati huo mpira hauwez kufika hata golin..
Hapa nakumbuka mashindano ya mrema cup jimbo la vunjo muheshimiwa MREMA alipewa mpira apige penati ili afungue mashindano alafu golini hamna kipa ila cha kushangaza muheshimiwa alipopiga ile penat mpira uliishia njian hata golin haukufika yaan ilikua kama mpira kapga mtoto wa miaka miwili
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.

Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
 
punguza, ujuaji, kujikweza ubishi, waliokuzalisha au mwanaume yoyote anaweza anaweza kupata huruma yakukuoa. fuata ushauri wangu. .
Im not desparate,arif. Nipo konkiii yaani halafu my status naijua mwenyewe. Hivyo nenda kichwani.
 
Upuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Kweli lkn ccm.wanasera gani za kuuza Kwa wananchi?au kile chumba masaki
 
Hiyo hali iliwahi kujitokeza na huo mpasuko uliweza kutatuliwa na viongozi walio kuwepo kipindi hicho.

Tofauti iliyopo kati ya kipindi hicho na sasa ni kubwa sana kwa maana ya viongozi waliopo ndani ya chama maana wao kwa wao wanaamini siasa za makundi na ukabila.
Mkuu je,hali kama hii haijawahi kutokea ndani ya CCM?.Kama jibu ni ndio,nini kilifanyika kuokoa jahazi?
 
Pole sana maana huu mchezo umemshinda dada yenu Fayza Fox sijui nyinyi kama mtauweza vinginevyo uniambie kipindi kile ulikuwa bado upo Nyamadookhee
Hakuna cha goal la mkono. Kuna kushindwa huwa kunaonekana kabisa.
 
Yaan kwa hali aliyokua nayo huyo mpiga penati huo mpira hauwez kufika hata golin..
Hapa nakumbuka mashindano ya mrema cup jimbo la vunjo muheshimiwa MREMA alipewa mpira apige penati ili afungue mashindano alafu golini hamna kipa ila cha kushangaza muheshimiwa alipopiga ile penat mpira uliishia njian hata golin haukufika yaan ilikua kama mpira kapga mtoto wa miaka miwili
Tofautisha mgonjwa na majeruhi
 
Umekosea hapo kwenye sentensi ya mwisho ulipo sema ni vilema.
Huyo mtu siyo kilema bali ni mgonjwa tu anauguza majeraha yake na akipona anarudi kwenye hali yake.
Maana yake CCM wanagombana wao kwa wao wameacha lango wazi.

Chadema wana mpira lakini ni majeruhi yaani hawawezi kupiga mpira golini japokuwa hawakabwi.

Hapo wapinzani ni muda wao kuganga hayo majeraha wawe fiti wacheke na nyavu. Bila hivyo maanayake CCM watanyooshana wao kwa wao huku wameacha goli wazi lakini wapinzani hawawezi kipiga mpira ukafika golini(hawawezi kishinda) sababu ni vilema.
 
jamaa na ma bandeji miguu yote mpk mikononi.hata kuupiga huo mpira ni tabu.
movie imekua tam balaa
 
Mpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..

Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Hiyo sio be penalty, ni set piece
 
Back
Top Bottom