Lakin mpiga mpira mwenyewe hawezi kwasababu Ni mlemavuMabeki wanagombana wameacha goli wazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin mpiga mpira mwenyewe hawezi kwasababu Ni mlemavuMabeki wanagombana wameacha goli wazi.
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Hakuna cha goal la mkono. Kuna kushindwa huwa kunaonekana kabisa.Wakiungana na kutoa mgombea mmoja ndo hakutakuwa na goli la mkono?
Im not desparate,arif. Nipo konkiii yaani halafu my status naijua mwenyewe. Hivyo nenda kichwani.punguza, ujuaji, kujikweza ubishi, waliokuzalisha au mwanaume yoyote anaweza anaweza kupata huruma yakukuoa. fuata ushauri wangu. .
Kweli lkn ccm.wanasera gani za kuuza Kwa wananchi?au kile chumba masakiUpuuzi mtupu,ccm haiwezi toka madarakani kwa kanituni za kipuuzi kama hizi,nendeni kwa wananchi mkauze Sera wananchi wawapime,unadhani tabiri uchwara za kipanya zina nafasi yotote katika kuingoa ccm?
Mkuu je,hali kama hii haijawahi kutokea ndani ya CCM?.Kama jibu ni ndio,nini kilifanyika kuokoa jahazi?
Kweli lkn ccm.wanasera gani za kuuza Kwa wananchi?au kile chumba masaki
Hakuna cha goal la mkono. Kuna kushindwa huwa kunaonekana kabisa.
Tofautisha mgonjwa na majeruhiYaan kwa hali aliyokua nayo huyo mpiga penati huo mpira hauwez kufika hata golin..
Hapa nakumbuka mashindano ya mrema cup jimbo la vunjo muheshimiwa MREMA alipewa mpira apige penati ili afungue mashindano alafu golini hamna kipa ila cha kushangaza muheshimiwa alipopiga ile penat mpira uliishia njian hata golin haukufika yaan ilikua kama mpira kapga mtoto wa miaka miwili
Mtu yuko kwenye magongo atafungaje mbali kote huko?Mbona kama wameamua kulikimbia goli na hapo mwana cdm anajipanga kupiga penati wakati lango lipo tupu?
Lakin mpiga mpira mwenyewe hawezi kwasababu Ni mlemavu
Msanii Kipanya ameendelea kuzikonga nyoyo za wapenzi wa michoro hiyo hasa kipindi hiki ambacho ccm ipo kwenye sintofahamu ya kiuongozi.
Tafadhali tazameni hiyo picha chini hapoView attachment 1158779
Maana yake CCM wanagombana wao kwa wao wameacha lango wazi.
Chadema wana mpira lakini ni majeruhi yaani hawawezi kupiga mpira golini japokuwa hawakabwi.
Hapo wapinzani ni muda wao kuganga hayo majeraha wawe fiti wacheke na nyavu. Bila hivyo maanayake CCM watanyooshana wao kwa wao huku wameacha goli wazi lakini wapinzani hawawezi kipiga mpira ukafika golini(hawawezi kishinda) sababu ni vilema.
Mtu yuko kwenye magongo atafungaje mbali kote huko?
hapo haina maana mshambuliaji tafunga kunakugonga bersala
hapo haina maana mshambuliaji tafunga kunakugonga bersala
Ukweli mtupu!Juzi kina makamba na kinana walipost picha za chumba Masaki, waliiibia chadema kura zake za uraisi, chadema walishinda kwa kishindo
Hiyo sio be penalty, ni set pieceMpiga penalty anaweza kushindwa kupiga hiyo penalty au hata akipiga anaweza Kupiga nje au mpira usifike kabisa golini pamoja na goli kuwa wazi..
Upinzani wanahitaji kuwa majasiri kidogo tu kuiyumbisha CCM wakati huu.. Bila ujasiri hawataweza kuitoa CCM..
Mkuu nimeamini kabisa kuwa cdm ilishinda kwenye ule uchaguzi na sasa ndiyo tumeanza kugundua baada ya kuwa siri kubwa sana.Ukweli mtupu!