Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

Kauli ambazo wanawake wanapenda kuwaambia wanaume

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412


Katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuna maneno ambayo asilimia kubwa ya Wanawake wanapendelea sana kuwaambia Wanaume.
Nitataja Baadhi….
1 Kwa kuwa umepata ulichokuwa unakitaka...sasa unaniona sina maana tena.
2- Wewe unataka kunichezea tu. Hauna malengo na mimi
3- Ni kipi hasa kinachokufanya uniringie?
4- Nataka unipe pesa leo, lazima nisolve hii problem leo siwezi kusubiri kesho.
5- Wakati ulipokuwa hauko na mimi ulikuwa ukimmega nani?
6-
Katika Wanaume na wewe Mwanamme? Una nini hasa cha kunishtua?
7- ……………………………………………… Endeleza List


 
-Usione vinangaa vimeundwa....hapo yatakiwa hela ya saluni
 
Boyfriend wangu wa zamani alikuwa ananijali(hapo umechokwa tayari), Kwani nikit.... itakuwa na alama hii,
 
Naona umefanya hapa ni kisima cha nye.....e
 
Akiwa anatikisa kiberiti,iwe ndio mwanzo na mwisho wa mimi na wewe kujuana.

Au utasikia anasema, kama hutaki kunisaidia shida zangu, niambie nitafute mwanamme mwingine?
 
Kutwa kucha napanda daladala mie, gari mwanaume huna, nyumba yenyewe ya kupanga tu lakini unavyokoroma usiku hata haya huna! Hela za kubadili mboga tu shida, looh mbona wantesa? Basi useme kunako majamboz wanpagawisha mtu mwenyewe una kibamia, looh!Kweli nimekuchoka!
 
Napenda mnavotupa attention anyway. . .

By the way naomba kujua jibu ya hapo "kwa kuwa umepata ulichotaka" wanaume ni kweli mkishamaliza nia zenu manabadilika? lol.
 
Back
Top Bottom