Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Umeyaona au kuyasikia ya Felix Tchiseked?Nachukizwa sana na kauli kama “Hakuna tunachoweza kufanya kwa sababu sisi ni Waafrika". Ni kauli hatari sana kwa taifa. Taifa haliwezi kujengeka kama watu wake wanaamini mapungufu yao ni ya kudumu na ya asili, na hakuna namna ya kuyabadilisha