B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 42,525 Reaction score 74,605 Sep 19, 2026 #21 Traxtion said: Nachukizwa sana na kauli kama “Hakuna tunachoweza kufanya kwa sababu sisi ni Waafrika". Ni kauli hatari sana kwa taifa. Taifa haliwezi kujengeka kama watu wake wanaamini mapungufu yao ni ya kudumu na ya asili, na hakuna namna ya kuyabadilisha Click to expand... Umeyaona au kuyasikia ya Felix Tchiseked?
Traxtion said: Nachukizwa sana na kauli kama “Hakuna tunachoweza kufanya kwa sababu sisi ni Waafrika". Ni kauli hatari sana kwa taifa. Taifa haliwezi kujengeka kama watu wake wanaamini mapungufu yao ni ya kudumu na ya asili, na hakuna namna ya kuyabadilisha Click to expand... Umeyaona au kuyasikia ya Felix Tchiseked?
DMmasi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 652 Reaction score 1,078 Sep 19, 2026 #22 Nisawa unayoyasema Ukombozi wa fikra ni muhimu na huo hatuna mpango wa kuupigania / kuutafuta
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 20, 2026 #23 Hakika, inasikitisha sana... Cc: Mahondaw