Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Wakuu kwema?

Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa?

"Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi, nikujazie mafuta kwenye gari na kukulipa mshahara alafu umtangaze Mgombea wa upinzani kuwa ameshinda."

Twende kazi.
 
Nataka kura zijumlishwe kwa mikono - Mzee wa Mabadiliko
 
Unashika Dola halafu unatumia Dola kubaki kwenye Dola, bila Dola hurudi Madarakani ukitoka
 
Back
Top Bottom