Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Kweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaah
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app