Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ujana changamoto unalewa Juu,zinashuka chini...
Piga value changanya na coca,piga na kongoro asee balaa lake sio poa
Balaa Sana Value hijawah kuniangusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] muda mwingine mpaka unasusa mbususu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbususu inatoa cheche [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
ukitaka kujikysanyia credit kwa mwanaume ni kitu kdg sana sema wanawake wengi hawalijui hilo sisi wanaume tuna vitu tunavihusudu sana binafs yang mm napenda mwanamk akiomba hela nikimwambia sina lkn mwanmke huyo haonyeshi ishara ya kuchukia na atakutext km kawaida hii inakuongezea point kwa mwanaume akikunyima hela ww mwambie utapata siku nyingine Mungu atakujalia hii inatia moyo hata km mtu kakunyima kusud ila ataitoa huko iliko na atakupa
Sure sure umeongea kitu sana demu wa hivyo unaisi kweli alikua anashida au atakama anapenda hela pia ata mapenzi yapo yani unaomba hela kavu ata mayai hakuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha ulipatikana vizuri. Alafu huu usenge wenu wa kusema nakataa wanaume wengi sijui nani aliwaambia ni akili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila hujamalizia story...onglea basi kile kipande ambapo alikuchakaza vizuri kitandani wakati wa make up sex[emoji12]
[emoji23][emoji23] tuligombana kwenye simu. Kasafiri hatujaonana bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukitaka kujikysanyia credit kwa mwanaume ni kitu kdg sana sema wanawake wengi hawalijui hilo sisi wanaume tuna vitu tunavihusudu sana binafs yang mm napenda mwanamk akiomba hela nikimwambia sina lkn mwanmke huyo haonyeshi ishara ya kuchukia na atakutext km kawaida hii inakuongezea point kwa mwanaume akikunyima hela ww mwambie utapata siku nyingine Mungu atakujalia hii inatia moyo hata km mtu kakunyima kusud ila ataitoa huko iliko na atakupa
Wangu hatukugombana kisa pesa, soma comment ya juu. Nilimpa kauli mbaya baada ya kuona ananizingua hakuipenda hiyo kauli ndio tukakosana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiv ushawah kupata manz umetoka kumnyandua unampa pesa alaf anakuuliza "hii pesa ya nn" oya inaraha yake sana sio makurumbembe wengine
Wanakuwaga watamu sana hao,maana mpaka kukupa ni amekuelewa sana.Wao ubize wao ni Simu,muziki na kupendeza,Yaani ana kazi yake au amejiajiri na ana moyo safii.Hawa wapo wachache sana lakini.
 
hiv ushawah kupata manz umetoka kumnyandua unampa pesa alaf anakuuliza "hii pesa ya nn" oya inaraha yake sana sio makurumbembe wengine
Mwingine anakwambia baby usinipe hela unakua kama unaninunua hivi siipendi unipe hela awa wa hivi wajengewe sanamu Chato stand

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Wangu hatukugombana kisa pesa, soma comment ya juu. Nilimpa kauli mbaya baada ya kuona ananizingua hakuipenda hiyo kauli ndio tukakosana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijiona umemshika kumbe mwenzako alikuwa anakuchora tu!!
Siku nyingine ukwia na mtu Kaa kimachale usijiachie sana ukaona unaweza kumtisha Kwa lolote...Wanaume tunaweza kuwa na wewe kumbe tunakuchora tu,upendo hata haupo kwako..
 
Mdomo wako umekuponza.
Never tell a man kwamba eti kuna wanaume wengine nawakataa haswa mwanaume mwenye hela.
Hapo atamrudiane tayari alishaweka question mark juu yako
Alinisamehe. Alafu kuna kauli aliongea mbaya yeye ndio alinipush mimi kusema yale sitakaa nirudie mana moto uliniwakia kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom