Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Kweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaah
[emoji2][emoji2] Kwa hiyo ulipiga chini?'Wewe nae buana tatizo unalalamika sana" ikabid tu nimuwah kabla hajaniwahi
Safi jipambanie bwana huo ndio usuperwoman sasa. Sio hadi kyupi akununulie mwanaumeEe itabakia hivyo lkn kulia shida kwa mwanaume mimi basi sitaki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si umpe hela mwenzio.Kweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hao ni wakugegeda tuuKweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Sasa je Cha kufia nini[emoji2][emoji2]
Hapo unaombwa hela tuuMy nikwambie kitu
Kuomba omba hela wakat mwngne naona ni hulka. Kuna watu wana kazi zao tena nzuri lkn ni ombaomba.Kweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2] basi na wewe ulishakua umemchoka. Mnaachanaje kirahisi hivyo?Sasa je Cha kufia nini[emoji2][emoji2]
kujitafutia za kwakoPamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona kama huyu anaomba hela tena direct kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi Bora mtu aniombe indirect naweza kumpa uwa namchezea Tu akiniomba nacheka mzigo nabutua afu limke la mtu si amuombe Bwana AkeKuomba omba hela wakat mwngne naona ni hulka. Kuna watu wana kazi zao tena nzuri lkn ni ombaomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mwanangu asa kuna huyo nikimpaga hela kesho nahakikisha anachechemea nampigia mixer ya value na mavitu uko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao ni wakugegeda tuu
Mimi tuligombana hiyo siku nikamuambia "yaan najitahid kushinda vishawishi huko nje, nakuheshimu natulia na wewe nakataa wanaume wengine kwa ajili yako alafu wewe unaniletea mambo meusi" akanijibu "sasa unangoja nini si uende kwa hao wanaume wengine" nikaanza kulia nikajua kishawaka ila alikuja akanisamehe baada ya mvurugano mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela gani? Wakati ata Mimi mwenyewe nataka kupewa hela Yani Mimi mwanamke ntampa hela Yani nijue ni shida kweli hapo sawa au anipe nimpe hapo nampa Yani mapenzi yakuombana hela yanakata stimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si umpe hela mwenzio.