Atlantic Star
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 539
- 1,696
......pole mamii! tudokeze kidogo ilikuwaje, ulihitaji nini na akakutenda kipi kibaya......Pamoja na shida zangu hakuna kitu nachukia kama kuendekeza shida zangu kwa mwanaume mna dharau sana nyie viumbe. Kuna situation nilishapitia ilinifundisha sana toka pale najisemeaga maisha ni yangu nijitafutie cha kwangu ukiamua kunipa sawa usipotaka sitakuomba. Mna dharau sana.
Sent using Jamii Forums mobile app