Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

Mimi na yeye baada ya kujuana wiki mbili tu

Yeye:Mambo my
Mimi😛oa mzima?
Yeye: Siko Poa
Mimi😛ole Nini shida?
Yeye:Tumbo linauma
Mimi😛ole,Tumbo la MP au la kawaida?
Yeye:MP
Mimi😛ole sana Jamani!
Yeye:Asante,naomba nitumie Hela nikanue Pedi
😂😂😂
 
Sure sure umeongea kitu sana demu wa hivyo unaisi kweli alikua anashida au atakama anapenda hela pia ata mapenzi yapo yani unaomba hela kavu ata mayai hakuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah nimecheka, eti hela kavu sio [emoji16][emoji16]
 
Mimi tuligombana hiyo siku nikamuambia "yaan najitahid kushinda vishawishi huko nje, nakuheshimu natulia na wewe nakataa wanaume wengine kwa ajili yako alafu wewe unaniletea mambo meusi" akanijibu "sasa unangoja nini si uende kwa hao wanaume wengine" nikaanza kulia nikajua kishawaka ila alikuja akanisamehe baada ya mvurugano mkubwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno nilishawahi litoa pia ila ke mna kisasi kibaya, hiyo kauli iliniponza kumbe mwenzangu alikua anajipanga kisaikolojia. Mda ulipofika ndio vimbwanga na kauli za hovyo with reference ya kauli yangu.
 
Back
Top Bottom