Kauli gani ukiambiwa na mpenzi wako unaanza kuhisi hili penzi halina muda mrefu linakwisha?

......pole mamii! tudokeze kidogo ilikuwaje, ulihitaji nini na akakutenda kipi kibaya......
 
Eti nashinda vishawishi vingi huko nje, vishawishi gani hivyo? Hivi unajua maana ya neno ushawishi? Unawishiwa na nini? Matapeli mnaouficha umalaya wenu kiaina.
 
Eti nashinda vishawishi vingi huko nje, vishawishi gani hivyo? Hivi unajua maana ya neno ushawishi? Unawishiwa na nini? Matapeli mnaouficha umalaya wenu kiaina.
Naomba kuwa na adabu, kama huwezi kucomment kiustaarabu unaweza pita kimya. Huo umalaya nimekufanyia wewe??? Hivi ni kwa nini kuna mijitu mnatokaga huko mbio mnajiskia tu kutupanikisha wengine? Mna shida gani?? Jiheshimu tafadhali [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…