Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Mapenzi ya leo kila mtu atumie hela zake. Siku nimekuhitaji upo kwangu nitalipa gharama zote, lakini maisha yako gharamia mwenyewe.Kweli bhana hila wanawake embu mjitahidi kujitegemea kwani Mimi binafsi naamini mapenzi ni 50/50 Yani hii ya kuombana hela inakata stimu Sana Sana Yani mpaka unaisi huyu kanipindea hela au kuna Hilo lingine Yani yupo straight kabisa Eti naomba hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwa namuangalia tu
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Uandishi wako unaonekana wewe mdada ni mstaarabu mno,..big upπππ
Shukrani sana.Uandishi wako unaonekana wewe mdada ni mstaarabu mno,..big up[emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Bby naomba unikopeshe hela
Unaenda wapi njoo nawe useme nini kinakupa ishara kuwa hapa nilishaliwa mbususu[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kweli mwanangu both team to scoreMapenzi ya leo kila mtu atumie hela zake. Siku nimekuhitaji upo kwangu nitalipa gharama zote, lakini maisha yako gharamia mwenyewe.