Kauli hii inaashiria madhara makubwa itakayokumbana nayo Urusi na dunia kwa ujumla endapo....

Akilihuru

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
1,512
Reaction score
2,980
Za jioni ndugu zangu, kwema.

Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na yenye nguvu kubwa duniani kama America na washirika wake.

Biden: "THE WORLD WOULD FACE 'ARMAGEDDON' IF PUTIN USES ATACTICAL NUCLEAR WEAPONS IN UKRAINE"

Kauli hii iliyotolewa na raisi wa Marekani mh Joe Biden sio ya kufanyiwa mzaha hata kidogo huko Kremlin. Ni kauli iliyobeba ujumbe mzito unaosubiri utekelezwaji wake muda wowote kuanzia sasa.

Joe Bide anachofanya ni kama vile kuiandaa dunia kisaikolojia ili atapokuja kumuadabisha Putin, Russia na baadhi ya maeneo ya dunia, awe na cha kujitetea kwamba 'tulionya mapema lkn Putin hakusikia, sasa haya ndio madhara ya kiburi chake na Russia yake, na kwamba lawama za uharibifu huu uliyofanywa na vikosi vyetu wakulaumiwa na Putin na genge lake'.

Kihistoria mara nyingi Marekani anapotaka kufanya jambo la kuishangaza dunia hasa lile lenye madhara makubwa kwa nchi au dunia, huanza kwanza kutoa onyo kwa nchi husika huku dunia nzima ikisia ili hapo baadae Marekani wasije kulaumiwa kwa lolote, na kwa vile yeye (Marekani) ndio mwenye nguvu basi linapotokea la kutokea huwa hakuna wa kuthubutu kujitokeza kuibebesha lawama akaeleweka.

Natamani kuona Putin anauelewa ujumbe huu wa Biden na kujiepusha na matumizi ya nuclear huko Ukraine kwani kinyume na matarajio yake, anaweza kuja kujikuta anaenda kuomba ukimbizi huko North Korea (maana mchina hatokubali kumpa hifadhi kwa kuhofia usalama wa nchi yake dhidi ya wababe hao wa dunia) kwahiyo Kiduku yeye atampokea tu maana hana cha kupoteza, huku nyuma atakuwa tayari kawaachia Wamarekani na wa Ukraine nchi yake wakiitawala Russia kwa miongo kadhaa ijayo.

Vita yake na bwana mdogo Ukraine imeshaonesha dunia kwamba Russia iko uchi kivita na kisilaha. Kwahiyo bora asitishe vita, arudishe majeshi yake nyumban, aombe radhi kwa uharibifu mkubwa aliofanya katika nchi ya mwenzake nk.
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama ili kulinda heshima yake.
 
Si ni Hawa Hawa US walikuwa wakisema mataifa Fulani Yanamiliki silaha za nuclear wakawavamia kijeshi baada ya ukweli kuwa wazi wanapindisha Mambo.
TUSUBIRI TUONE
 
Umeandika kishabiki, hata hivo hakuna lolote watalo mfanya zaidi ya vikwazo ambavo hata wasio kuwamo wanaumia, kifupi wanamwogopa, hivi rusia ingekua moja ya nchi za afrika bado tungeendelea kujibishana hapa ,
Wangekuwa wanamuogopa wasingekuwa wanaipata silaha Ukraine wazi wazi na ukizingatia mwanzo wa vita Putin alipigaga mkwara kwamba yeyote atakaemsaidia Ukraine kijeshi na kisilaha atakiona cha mtemakuni. Sasa ni zaidi ya miezi 6 Mmarekani amekuwa akituma silaha bila kificho chochote na hakuna lolote ambalo Russia ishafanya zaidi ya kulalamika kuwa Marekani imekuwa ikiisaidia Ukraine silaha ambazo zinaifanya nchi yao ipatwe na mashambulizi ambayo hawayakutarajia.

Ukweli ni kwamba Jamaa anatafutiwa timing ili kitachofanyika lawama zisiende kwa USA.
 
Za jioni ndugu zangu, kwema.

Ndugu wanajamii forum wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza clear kabisa hapo juu. Ni kwamba kuna mpango mahususi unapangwa wa kuiadabisha Russia (na kwa bahati mbaya sehem kubwa ya dunia ) kutokana na kiburi ilichonacho Russia dhidi ya mataifa makubwa na yenye nguvu kubwa duniani kama America na washirika wake.

Biden: "THE WORLD WOULD FACE 'ARMAGEDDON' IF PUTIN USES ATACTICAL NUCLEAR WEAPONS IN UKRAINE"

Kauli hii iliyotolewa na raisi wa Marekani mh Joe Biden sio ya kufanyiwa mzaha hata kidogo huko Kremlin. Ni kauli iliyobeba ujumbe mzito unaosubiri utekelezwaji wake muda wowote kuanzia sasa.

Joe Bide anachofanya ni kama vile kuiandaa dunia kisaikolojia ili atapokuja kumuadabisha Putin, Russia na baadhi ya maeneo ya dunia, awe na cha kujitetea kwamba 'tulionya mapema lkn Putin hakusikia, sasa haya ndio madhara ya kiburi chake na Russia yake, na kwamba lawama za uharibifu huu uliyofanywa na vikosi vyetu wakulaumiwa na Putin na genge lake'.

Kihistoria mara nyingi Marekani anapotaka kufanya jambo la kuishangaza dunia hasa lile lenye madhara makubwa kwa nchi au dunia, huanza kwanza kutoa onyo kwa nchi husika huku dunia nzima ikisia ili hapo baadae Marekani wasije kulaumiwa kwa lolote, na kwa vile yeye (Marekani) ndio mwenye nguvu basi linapotokea la kutokea huwa hakuna wa kuthubutu kujitokeza kuibebesha lawama akaeleweka.

Natamani kuona Putin anauelewa ujumbe huu wa Biden na kujiepusha na matumizi ya nuclear huko Ukraine kwani kinyume na matarajio yake, anaweza kuja kujikuta anaenda kuomba ukimbizi huko North Korea (maana mchina hatokubali kumpa hifadhi kwa kuhofia usalama wa nchi yake dhidi ya wababe hao wa dunia) kwahiyo Kiduku yeye atampokea tu maana hana cha kupoteza, huku nyuma atakuwa tayari kawaachia Wamarekani na wa Ukraine nchi yake wakiitawala Russia kwa miongo kadhaa ijayo.

Vita yake na bwana mdogo Ukraine imeshaonesha dunia kwamba Russia iko uchi kivita na kisilaha. Kwahiyo bora asitishe vita, arudishe majeshi yake nyumban, aombe radhi kwa uharibifu mkubwa aliofanya katika nchi ya mwenzake nk.
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutama ili kulinda heshima yake.
Bahati mbaya kwako na wana upinde wenzako ni kwamba, Urusi ndo nchi ya kwanza duniani kwakuwa na silaha nyingi za maangamizi
 
Swala la silaha za ulinzi hasa za maangamizi huwa haliongelewi hadharani mjomba. USA sio wajinga mpaka waitangazie dunia kila silaha waliyonayo na idadi yake.
Mfano wanaweza kuwa na ndege zisizo na rubani 100 ila watasema wana 10 ili kuihadaa dunia kuhusu maswala yake ya ulinzi.

Bora Urusi ishaonesha kwamba silaha ilizonazo zimekwama kuleta matokeo chanya ndio maana wanataka kutumia nuclear.
 
Back
Top Bottom