Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,512
- 2,980
- Thread starter
- #41
Mwaka 2001 ulikuwa na umri gani mkuu? Inamaana wewe mpaka leo haujui kwamba shambulio la sep 11 lilipangwa na CIA yenyewe wakishirikiana na FBI pamoja na yule agent wao Osama ili wapate njia ya kuzivamia nchi walizotaka kuvamia.Shambulio la Sept 11 liliwezekanaje.??
Muliosomea kwenye mawe mnakazi kubwa kujua Dunia.
Russia knows what will happen. Na Sasa wamebadili move. Maeneo waliyojitwalia Yale manner au matano kama sikosei wame sign tayari Bunge lao lime approve. Hii sio Putin Tena. Jamani urusi sio Libya au Iraq.
It's like wamesitisha vita na Wana msubiri ukrane na wale wakujipachika wasimame. He is done na mapigano. Kilichobaki ni wananchi kusubiri baada ya referendum na utekelezaji. So sio vita ya Putin tena ni Yale majimbo ambayo yameondoa Ukraine..
Guys fuatilieni badala ya kusifia nani anapigwa nani anakimbia. Actually USA amepata sehemu ya kutest vitu vyake. Russia is not stupid. Na kuomba poo Russia si mjinga.
Nirudi kwenye Sept eleven...Jaman pale Washington panapigika tu tuache ushabiki. Na wakati wote USA anajitahidi Kremlin asioneshe kutaka kufanya jambo kama ya pentagon Ile ..
Leo Israel alikuwa akiendelea kujaribu dome nna linavyoweza kumzuia silaha za aduikuingia. Ni kama bakuli la kioo ukirusha Chochote kinazuiwa.
Unajua ni kwanini Marekani iliivamia Afghanistan kwa kisingizio cha kwenda kumsaka Osama, pia wakatumia sababu zinazofanana na hizo hizo katika miaka ile ile kuivamia Iraq. Ni kwamba ule ni mkakati uliopangwa kwa lengo la kwenda kuchota mafuta Iraq na kuiba rasilimali za Afghanistan ambapo hapo kabla Russia iliwahi kujaribu kuivamia nchi hiyo ili iweze kuiba rasilimali hizo ikashindikana.
Huu ni mpango uliopangwa mahususi na FBI, CIA na Osama wao. Ndio maana mpaka leo hakuna mtu aliebahatika kuona maiti ya Osama, mazishi yake wala kaburi lake, kinyume na tulivyoona maiti, mazishi na makaburi ya Sadam Hussein na Ghadafi.