Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

Hili jukwaa linaitwa [HASHTAG]#JamiiInteligence[/HASHTAG]
Huku hatutukanani...Tunashindana kwa hoja;ukianza kubatiza watu majina kama "Punguani",watu wanakuwa wanashangaa kuwa wewe jukwaa kama hili si "size yako"
Hoja yako haifai Kuna viongozi wengi wa makanisa Wana hoja tofauti hata walio ndani ya kanisa katoliki juu ya kile unachokiwaza

Kwa sababu wewe ni wamlengo tofauti basi unaona kiongozi hafai kutoa maoni yake binafsi..

Mbona hukusema kuhusu Mzee wa upako kwa kauli yake kama ya Kadinari Pengo

Ndo maana nasema unastahili kuitwa jina nililokuita
 
Dah haya mambo yalinifanya nikimbie Jf kwa muda ,Mkuu barafu naona bado unakomaa hukati tamaa
 
Thanks again I rate this thread #1 for 2016.

Hongera kuliita jembe ni jembe na siyo rato.
Nikutonye, unakumbuka mara baada ya awamu hii kuingia madarakani kulipigwa marufuku kufanyia seminar makongamano au mikutano kwenye kumbi au hoteli binafsi.

Basi yalihamishiwa yote kwenye kumbi za Kanisa Katoliki TEC
au Msimbazi kwa DSM na mtukufu Mtakatifu alibariki. Kwa hiyo Pengo anasema kweli kuwa wamevuka malengo kwa monopoly hiyo.

Sheikh Khalifa Khamis amzushia UDINI Rais Magufuli
Mkuu umepiga msumari!!Hasa hapo kwenye matumizi ya ukumbi....Sisi wengine ni waumini,lkn ni waumini ambao haya mambo ya viongozi wetu tunayacgukulia kwa ubinadamu zaidi na tunapaswa kiyasemea.

Kwa tamko lile wakati wa Katiba Mpya na hili la sasa,hakika linawakatisha tamaa watu wengi hata wale wasio waumini
 
Hoja yako haifai Kuna viongozi wengi wa makanisa Wana hoja tofauti hata walio ndani ya kanisa katoliki juu ya kile unachokiwaza

Kwa sababu wewe ni wamlengo tofauti basi unaona kiongozi hafai kutoa maoni yake binafsi..

Mbona hukusema kuhusu Mzee wa upako kwa kauli yake kama ya Kadinari Pengo

Ndo maana nasema unastahili kuitwa jina nililokuita
Wewe naona ni "mgeni"
Angalia jinsi nilivyoanzisha humu jukwaani mjadala wa Mzee wa Upako...Naona umekuja kwa shari,ninakupisha njia uendelee na safari!!
Kwa taarifa yako mimi sio Mkatoliki wa kuweka na gundi,mimi ni mkatoliki haswa haswa,ninaijua historia ya Kanisa vilivyo,na ndio maana kauli za mtu kama Pengo hazinibabaishi,maana kuna watu waliwhi kuwa wakubwa ktk kanisa,kauli zao zilivyotoka si tu zilihuzunisha watu,bali zilitikisa lkn bado kanisa likawepo.

Hii ilikuwa ni kwa ajili ya wale wanaofuata mtu kuliko imani.
 
Dah haya mambo yalinifanya nikimbie Jf kwa muda ,Mkuu barafu naona bado unakomaa hukati tamaa
Mkuu UncleBen nimekutafuta sana sana mkuu...Kwanza heri ya Xmass na maandalizi ya mwaka mpya wa Kimagharibi...

Ulipotelea wapi?Hukuona "mention" zangu zikikuita??Karibu sana mkuu
 
Mkuu UncleBen nimekutafuta sana sana mkuu...Kwanza heri ya Xmass na maandalizi ya mwaka mpya wa Kimagharibi...

Ulipotelea wapi?Hukuona "mention" zangu zikikuita??Karibu sana mkuu
Mkuu ,asante kwa salamu za Christmas na mwaka mpya ,Salamu zangu za dhati zikufikie pia Mkuu

Hapana sijafanikiwa kuona hizo mention mkuu nadhani Jf app ina tatizo la notifications

Niliamua kujipa likizo kidogo kuna muda unaweza kuchanganyikiwa
 
Kwenye jukwaa hili kuitana mapunguani inaonyesha hapa siyo mahali pako.

Tukitumia uhuru wa jukwaa hili vizuri tutanufaika sana na hoja mbadala na mawazo tofauti.
Afadhali mkuu MAGALEMWA
Hapa tupigane kwa hoja,si kwa vihoja na vijembe
 
Mkuu ,asante kwa salamu za Christmas na mwaka mpya ,Salamu zangu za dhati zikufikie pia Mkuu

Hapana sijafanikiwa kuona hizo mention mkuu nadhani Jf app ina tatizo la notifications

Niliamua kujipa likizo kidogo kuna muda unaweza kuchanganyikiwa
Mkuu wangu UncleBen kweli ulipotea sana sana...Tupo pamoja
 
Back
Top Bottom