Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jukwaa linaitwa [HASHTAG]#JamiiInteligence[/HASHTAG]Kwaiyo ulitaka aseme maisha magumu.. punguani kabisa
Hoja yako haifai Kuna viongozi wengi wa makanisa Wana hoja tofauti hata walio ndani ya kanisa katoliki juu ya kile unachokiwazaHili jukwaa linaitwa [HASHTAG]#JamiiInteligence[/HASHTAG]
Huku hatutukanani...Tunashindana kwa hoja;ukianza kubatiza watu majina kama "Punguani",watu wanakuwa wanashangaa kuwa wewe jukwaa kama hili si "size yako"
Nimependa jibu lako.Hili jukwaa linaitwa [HASHTAG]#JamiiInteligence[/HASHTAG]
Huku hatutukanani...Tunashindana kwa hoja;ukianza kubatiza watu majina kama "Punguani",watu wanakuwa wanashangaa kuwa wewe jukwaa kama hili si "size yako"
Thanks again I rate this thread #1 for 2016.
Hongera kuliita jembe ni jembe na siyo rato.
Nikutonye, unakumbuka mara baada ya awamu hii kuingia madarakani kulipigwa marufuku kufanyia seminar makongamano au mikutano kwenye kumbi au hoteli binafsi.
Basi yalihamishiwa yote kwenye kumbi za Kanisa Katoliki TEC au Msimbazi kwa DSM na mtukufu Mtakatifu alibariki. Kwa hiyo Pengo anasema kweli kuwa wamevuka malengo kwa monopoly hiyo.
Mkuu umepiga msumari!!Hasa hapo kwenye matumizi ya ukumbi....Sisi wengine ni waumini,lkn ni waumini ambao haya mambo ya viongozi wetu tunayacgukulia kwa ubinadamu zaidi na tunapaswa kiyasemea.
Kwa tamko lile wakati wa Katiba Mpya na hili la sasa,hakika linawakatisha tamaa watu wengi hata wale wasio waumini
Kabila lake havina uhusiano Na aliyoongeaMkijua kabila lake na jinsi walivyo wanafiki hamtashangaa tena kauli za baba askofu. Unafiki ni inborn.
Wewe naona ni "mgeni"Hoja yako haifai Kuna viongozi wengi wa makanisa Wana hoja tofauti hata walio ndani ya kanisa katoliki juu ya kile unachokiwaza
Kwa sababu wewe ni wamlengo tofauti basi unaona kiongozi hafai kutoa maoni yake binafsi..
Mbona hukusema kuhusu Mzee wa upako kwa kauli yake kama ya Kadinari Pengo
Ndo maana nasema unastahili kuitwa jina nililokuita
Kwenye jukwaa hili kuitana mapunguani inaonyesha hapa siyo mahali pako.Kwaiyo ulitaka aseme maisha magumu.. punguani kabisa
Mkuu ,asante kwa salamu za Christmas na mwaka mpya ,Salamu zangu za dhati zikufikie pia MkuuMkuu UncleBen nimekutafuta sana sana mkuu...Kwanza heri ya Xmass na maandalizi ya mwaka mpya wa Kimagharibi...
Ulipotelea wapi?Hukuona "mention" zangu zikikuita??Karibu sana mkuu
Mkuu wangu UncleBen kweli ulipotea sana sana...Tupo pamojaMkuu ,asante kwa salamu za Christmas na mwaka mpya ,Salamu zangu za dhati zikufikie pia Mkuu
Hapana sijafanikiwa kuona hizo mention mkuu nadhani Jf app ina tatizo la notifications
Niliamua kujipa likizo kidogo kuna muda unaweza kuchanganyikiwa
Unatupeleka enzi za ukoloni na kabla yake kujadili kabila ya mtu. Mkosoe kwa matendo na maneno yake, kila kabila halikosi wanafiki.Mkijua kabila lake na jinsi walivyo wanafiki hamtashangaa tena kauli za baba askofu. Unafiki ni inborn.