Uchaguzi 2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM

IMG_0164.JPG
 
Duu! Yaani CCM mpaka leo hamjamwambia mgombea wenu dhambi zake ni zipi? Pengine ndio maana hajaanza kuziungama kwa kutojua dhambi zake, Lakini pamoja na dhambi nyingine nyingi kubwa kuliko zote ni kujali na kuabudu maendeleo ya vitu visivyo hai huku akikandamiza na kupuuza vilivyo na uhai! Kupuuza maendeleo ya watu hapa lazima akubali gharama zake! Na asipoungama na kujirekebisha mauti yake kisiasa yako hapo! Hao wote aliowataja walijali maisha na maendeleo ya watu na sio vitu!
 
“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM

Halafu siku hizi hasemi tena tumuombee. Nadhani huu ni wakati ambao wanamuombea wanatakiwa kuzidisha maombi.
 
“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM

Ngamia ameisha jielekeza kibra bado kumchinja tu, Hongera Tundu antipas lissu umemyoosha huyu doctor uchwara
 
Back
Top Bottom