Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
usilolijua ni kama nyeti za jogooLugha za Kampeni hizo wewe dogo
Mnyenyekevu Magufuli? Huyu jamaa ana jeuri hatariiiiiiiiKauli ya kawaida sana kuomba kura kwa wananchi. Magufuli ni mnyenyekevu sana.
uyo jamaa mwenye daftari kama vile anafatilia pindi la Hidden kumbe anabeti
Halafu siku hizi hasemi tena tumuombee. Nadhani huu ni wakati ambao wanamuombea wanatakiwa kuzidisha maombi.“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM
Ngamia ameisha jielekeza kibra bado kumchinja tu, Hongera Tundu antipas lissu umemyoosha huyu doctor uchwara“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM
Kauli ya kawaida sana kuomba kura kwa wananchi. Magufuli ni mnyenyekevu sana.