Kauli hii ya Makamu Rais wa Kenya Rutto huenda ikasababisha machafuko muda wowote huko Kenya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni kauli ambayo Makamu Rais wa Kenya Mheshimiwa William Rutto aliyoitoa muda si mrefu ambayo imeonekana kuwakera Wakenya wengi huku wengine sasa wakisikika kwamba wako tayari kwa Vita muda wowote kwani hiyo kauli ni Kiashirio tosha kwamba akina Kenyatta na Rutto wanataka Vita / Machafuko nchini Kenya.

Kauli yenyewe ni hii hapa nainukuu...." Tuliwaonya hawakutusikia sasa Chuma chenu Kiko motoni na muda si mrefu Kitaungua chote ili Kenya ibaki kuwa salama kwani tumechoka na tumewachoka " mwisho wa kuinukuu.

Kwa undani zaidi wa hiyo Kauli ingia katika Mtandao wa Standard Digital upate uhondo kamili. Labda nitoe tu Rai kwa Wakenya kwamba hapa East Africa hatutaki Vita au Machafuko hivyo wamalizane tu kwa amani na kwa kupiga Kura na siyo kwa mapigano.

Nawasilisha.
 
Siasa za Kenya ni ngumu. Tusipende kuziiga. Tufanye siasa za kistaarabu. Upinzani ufuate ushauri uliowahi kutolewa na Mh. Lowassa wa kuachana na siasa za uanaharakati.
 
Yani Kenya bhana.......watu kipindi cha uchaguzi wanakimbia nchi wanakuja tz...daahh
 
Machafuko wewe umekuwa Mpunga pepo au nabii ???
Au ndiyo akili zako za kijasusi Uchwara zimekuambia haya ???
Teh teh teh teh!

wewe jamaa unagombania demu nini humu na gentamycine? kwani unaonekana kumfuata fuata kila mahala hadi sasa unaboa
 
hizi kauli za viongozi sijui hua zinatoka kama uhalo au maana wafuasi wao wanatafsri mengine yawezekana alimaanisha mengine lakini kitendo cha kutamka hayo maneno kipindi hiki nchi imepigwa ganzi shinda sana
 
Chuma kiko jikoni cha kuwachoma mapembe NASA na kukata govi za kijaluo
 
There is no war in Kenya, but another election next month which ofcourse will see rao out of politics for good.
 
Ni kauli ambayo Makamu Rais wa Kenya Mheshimiwa William Rutto aliyoitoa muda si mrefu ambayo imeonekana kuwakera Wakenya wengi huku wengine sasa wakisikika kwamba wako tayari kwa Vita muda wowote kwani hiyo kauli ni Kiashirio tosha kwamba akina Kenyatta na Rutto wanataka Vita / Machafuko nchini Kenya.

Kauli yenyewe ni hii hapa nainukuu...." Tuliwaonya hawakutusikia sasa Chuma chenu Kiko motoni na muda si mrefu Kitaungua chote ili Kenya ibaki kuwa salama kwani tumechoka na tumewachoka " mwisho wa kuinukuu.

Kwa undani zaidi wa hiyo Kauli ingia katika Mtandao wa Standard Digital upate uhondo kamili. Labda nitoe tu Rai kwa Wakenya kwamba hapa East Africa hatutaki Vita au Machafuko hivyo wamalizane tu kwa amani na kwa kupiga Kura na siyo kwa mapigano.

Nawasilisha.

Hakuna Vita Kenya, maadamu D.Trump ni Raisi wa USA basi si Kenya wala Afrika kutakuwa na vita!
 
Ni kauli ambayo Makamu Rais wa Kenya Mheshimiwa William Rutto aliyoitoa muda si mrefu ambayo imeonekana kuwakera Wakenya wengi huku wengine sasa wakisikika kwamba wako tayari kwa Vita muda wowote kwani hiyo kauli ni Kiashirio tosha kwamba akina Kenyatta na Rutto wanataka Vita / Machafuko nchini Kenya.

Kauli yenyewe ni hii hapa nainukuu...." Tuliwaonya hawakutusikia sasa Chuma chenu Kiko motoni na muda si mrefu Kitaungua chote ili Kenya ibaki kuwa salama kwani tumechoka na tumewachoka " mwisho wa kuinukuu.

Kwa undani zaidi wa hiyo Kauli ingia katika Mtandao wa Standard Digital upate uhondo kamili. Labda nitoe tu Rai kwa Wakenya kwamba hapa East Africa hatutaki Vita au Machafuko hivyo wamalizane tu kwa amani na kwa kupiga Kura na siyo kwa mapigano.

Nawasilisha.
Duh!! Wazee wa CDM mko wapi jahazi linazama?
 
Umewasilisha ujinga
 
Back
Top Bottom