Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

uko makini kinoma
 
Ukimruhusu afikie uchumi wa juu zaidi yako umekwisha, ukitafuta pesa ukawa nazo nyingi na usiwe mkora kwake umekwisha vile vile..kuanzia hapo ishi nae kwa akili tena mchane live ile kauli yake kua imekustua na vaa uso wa mbuzi mpaka ajute
Safi sana.
 
Hahaha
 
Hahaahahaha......na yeye kaolewa kwa sababu ya ugumu wa maisha[emoji23][emoji23]
 
Endelea kuhudumia mkuu, ila kakwambia ukweli. Wewe zalisha tu mpaka akome.
 


Sasa mke wako umuulize swali kama hilo kuhusu rafiki yake alafu anakujua kabisa kwamba hujatulia ni kiwembe ulitegemea atakujibu nini.

Hayo ndiyo majibu ya wanawake wenye akili wote kwa maswali ya kipumbavu kama haya.
 
Huna mke hapo broo, una mkimbizi umehifadhi ndani, akipata makazi ya kudumu anakuacha peupee

Ka kifupi yupo na wewe kwa sababu amekwama kimaidha na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…