ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Hakuna watu wambea zaidi kama mke na mume wakielewana sasa bora umekula za uso mpunguze umbeya kidogo😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie kutokana na kauli yake umetafakari ukaona kuwa huna mke hivyo itabidi akapumzike kwao.Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
Umenikumbusha k2Mwanamke akiongea kauli yeyote ile mbele yako KAMWE usimchane live wala kupanic
ukitaka umjue mwanamke walau kwa uchache usimjudge kwa lolote lile kuwa kam humsikii hivi ikiwezekana msupoti otherwise atakufekia maisha mpk ushangae na kamwe hutajua ujinga uliomjaa kichwani kwake km una mjudge
Ilaa tuache unafiki hivi wanaume mnaamini kabisa kwamba mdada mkipendana atakubali muoane eti kisa upendo na pesa hakuna????Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
Huyu atakuwa Mwanachama Wa chama Fulani cha siasa, ukiingia uchumi Wa kati utabezwa mpaka basi.Ukimruhusu afikie uchumi wa juu zaidi yako umekwisha, ukitafuta pesa ukawa nazo nyingi na usiwe mkora kwake umekwisha vile vile..kuanzia hapo ishi nae kwa akili tena mchane live ile kauli yake kua imekustua na vaa uso wa mbuzi mpaka ajute
Ndio wanawake wengi walivyo . Mwanamke mwenye pesa huwezi kumuoaSiku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
Umemjibu vema,,,Sasa mke wako umuulize swali kama hilo kuhusu rafiki yake alafu anakujua kabisa kwamba hujatulia ni kiwembe ulitegemea atakujibu nini.
Hayo ndiyo majibu ya wanawake wenye akili wote kwa maswali ya kipumbavu kama haya.
Duh kumbe za kuachiwa 3000 asubuhi hazifai??Ilaa tuache unafiki hivi wanaume mnaamini kabisa kwamba mdada mkipendana atakubali muoane eti kisa upendo na pesa hakuna????
Acheni matani bwanaa ndoa tunazitaka ila sio za kuachiwa 3000 asubuhi...hasa kama mke hana kazi.
Embu filisika mkuu uje utupe mrejesho wa hali mpya ya maishaSiku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
DuTokea niangalie movie ya CASINO 1993 ya Martin Scorsese, nimekuwa nikifikiria sana hili swala la kuoa, yani unaweza oa mwanamke ukaishi naye miaka mingi ila bado akaja kukufanyia kitu hutokaa uamini... [emoji29][emoji29]
Hazifai aisee hasa kwa magolikipa.Duh kumbe za kuachiwa 3000 asubuhi hazifai??
Very correctManeno ya kawaida kabisaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake ukiweka kichwani kila anachoongea utakuwa chizii mkuu
Duh basi ngoja tujipangeHazifai aisee hasa kwa magolikipa.
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu