Edudue
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 317
- 599
Daaaaaahhh hii kauli nzito sanaaa mkuu inaashiria hata shemeji kakubali kuingia kwenye ndoa kwa sababu fulani tuu anazozijua yeye ila bila hivyo asingekubali umuoe mkuuSiku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana