dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
π π π π π πmkimaliza hatamaniki kwa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π πmkimaliza hatamaniki kwa mtu
Wanamke wako weak sana,hata siku ya hatari ukishawishi anakupa kazi na mimba ukimshawishi kulea hawezi itoaHivi mtu anayeamua kuwa sasa mimba inaingia ni mwanaume kumbe
Mke kasema ukweli (ukweli mchungu) nyie mnasema jamii inaangamiaKosa kubwa jamii ilifanya ni sisi wanaume na wazazi kuunga mkono mkono kuwa ukimuelimisha mtoto wa kike umeiokoa jamii. Kumbe ukweli ni kwamba ukimuelimisha mtoto wa kike na kumuwezesha unaingamiza jamii....
Kma vijana wenye pesa hivi unawaonaga wana muda na mapambio ya ndoa mapema?.Hiyo ni hulka ya asili kwa wanawake wote. Mwanamke akijimudu kifedha kabla ya kuolewa atachagua sana wanaume na atachelewa sana kuolewa. Usihofu, haimaanishi kuwa hakupendi, anaongea tu hali halisi ilivyo.
Usije mbonda huyo ana mwili mwepesi..utapata kesi ya mauaji bureeMie nilimtwanga kofi moja [emoji3] tu,
Alipoteza faham,, nilianza kujuta kwa nn nimemtwanga lile kofi,, alivokuja kuzinduka ananiuliza kimetokea nn? Nikamjibu Twende tukalale ntakwambia kesho,
Aiseeh alideka sijapata ona,, ikabidi kesho yake niende shop kumnunulia zawadi,,
Siku hizi muoga kweli,, akinichefua anakaa mbali mita 2,
Wenzie huwa wanamcheka wanamwambia "SI ULISEMA 1 KUSH NI MPOLE?"
Kumbe aliwasimulia mashosti,
Nlishaacha,,Usije mbonda huyo ana mwili mwepesi..utapata kesi ya mauaji buree
Unajua maana ya huo ukweli mchungu?!Mke kasema ukweli (ukweli mchungu) nyie mnasema jamii inaangamia
Siku za hatari hazina suluhisho eeh?Wanamke wako weak sana,hata siku ya hatari ukishawishi anakupa kazi na mimba ukimshawishi kulea hawezi itoa
Sijui aiseeUnajua maana ya huo ukweli mchungu?!
Hmm!Tena 100%
Siku moja tumetulia zetu baada ya kumaliza shughuli ya kujenga TAIFA letu. Kama kawaida ya wanandoa kuanza kusengenya watu wengine. Nikamuuliza mwenzangu
"Hivi rafiki yako Fulani mbona hajaolewa mpaka leo, ama hajapata mtu sahihi?". Akasema, "Wengine tunaolewa tu kwa sababu ya ugumu wa maisha, lakini Kama mtu Unajimudu hakuna haja ya kukimbilia ndoa"
Kauli mpaka leo bado naitafakari sana
[emoji1787][emoji1787] kumbe ndiyo wewe uliyetuwakilisha vyema aisee
Vimbwanga hivyo nimecheka sana, anataka aolewe mara ya pili nini? Labda haumtoshelezi ndiyo maanaAfadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
Vimbwanga hivyo nimecheka sana, anataka aolewe mara ya pili nini? Labda haumtoshelezi ndiyo maana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweliLazima ukweli usemwe, hata kama ni mchungu kiasi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo bora abakie uchumi wa kati siyo?πππUkimruhusu afikie uchumi wa juu zaidi yako umekwisha, ukitafuta pesa ukawa nazo nyingi na usiwe mkora kwake umekwisha vile vile..kuanzia hapo ishi nae kwa akili tena mchane live ile kauli yake kua imekustua na vaa uso wa mbuzi mpaka ajute
Kwahiyo bora abakie uchumi wa kati siyo?[emoji3][emoji3][emoji3]