Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

Usipende kuweka maneno ya wanawake kichwan wala moyoni.. utaumia bure
.....
 
Umepigwa pole
 
Pana wanawake wa aina mbili pana aliyekuja kama mke na Pana aliyefata kivuli apumzike au mtafuta ufadhili wa maisha yake au mwekezaji.
Mke hawezi kukusaliti,au kukuacha wakati wa shida, tofauti na msaka kivuli au mwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…