Kauli hii ya Pastor Tony Kapola inachochea ukatili dhidi ya wanawake walioko kwenye ndoa! Wanawake msifuate ushauri huu

Kua na familia imara ni bahati, hata uwe mjanja vipi au uwe makini vipi kwenye kuchagua kama bahati haipo upande wako talaka zitakuhusu.
Ila ukweli añayedumisha ndoa ni mwanamke. Mke akiwa na busara akampenda mume wake, sisi wanaume tukiridhika tuu basi, hàta kuchepuka kunakuwa hakupo kivile maana unawazà usije ukàmkosea mkeo.
Ila hayana mwongozo pia.
 
Nimecheka kwa nguvuuu sana Wewe jamaa phala sana,
Eti mwanaume anajiitaje
Mama samia!!

Hahahah jamaa hua hahudhurii vikao mbona wenzake
kina Maghayo The Mongolian Savage I'd zao zina majina ya Kibabe sana?

😂😂😂
Huyu jamaa ni ndina sana kwa kujifanya mtetezi wa wanawake humu jf.
Angejua wanawake wanavyo tuchukulia wala hasingepoteza muda kujifanya mtetezi wao.
Kiufupi ningekuwa na mamlaka hivi vijitaasisi vinavyo eneza itikadi za kifeminist kwa mgongo wa kutetea haki za wanawake ninge vifyekelea mbali maana vimejaa ushetani mtupu.
 
Wewe ndio hujamwelewa.

Mama yako tu kaachika anadanga kwa beach boys atakushauri nini?
 
Sijaona kosa lolote la huyu Pastor sana sana naona kaongea Ukweli mtupu ambao kwa bahati mbaya Watanzania wengi (hasa Wapumbavu na Wanafiki) huwa hawapendi Kuusikia / Kuambiwa.

Imeisha hiyo......!!!
 
Imeandika kwa his Kali Sana mkuu
 
Mbona pastor yuko vema kusema hivyo! Pasta anajenga maadili kwenye ndoa pawepo na uvumilivu ili ndoa zidumu. Sasa kama mwanamke wa ndoa akikimbilia kwao nani atamfuata kwa miaka hii? Ukiondoka tu ukarudi kwenu, imetoka hiyo hutafuatwa, badala yake anaingia mwanamke mpya na maisha yanaendelea. Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Acha kutetea upumbavu
 
Sijaona kosa lolote la huyu Pastor sana sana naona kaongea Ukweli mtupu ambao kwa bahati mbaya Watanzania wengi (hasa Wapumbavu na Wanafiki) huwa hawapendi Kuusikia / Kuambiwa.

Imeisha hiyo......!!!
Popoma haya mambo huwezi elewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…