Kauli hii ya Pastor Tony Kapola inachochea ukatili dhidi ya wanawake walioko kwenye ndoa! Wanawake msifuate ushauri huu

Tukiachana na hadithi za kwenye bible tujikite kwenye hii kauli ya huyu baradhuli Tony.
Huyo unayemuita baradhuli kawa hivyo kwa sababu mfumo uliomfunza hivyo kutoka kwenye Bible ndio uliompa leseni ya kusema hivyo.

Watu wanafikiri haya maneno yanatoka hewani tu, yanatoka kwenye Biblia.

Kuna sehemu nyingi sana kwenye Biblia zimefundisha mwanamke ni kiumbe dhaifu tu, msaidizi tu wa mwanamme. Of course kwa falsafa hizo mwanamke anatakiwa kuvumilia tu anachofanyiwa na mwanamme.

There is a direct line from that Bible story to that baradhuli saying so.
 
Mbona hajamzidi Chalamila! Na bado anadunda.
 
ukweli mchungu hii ni kweli na itabaki kuwa kweli na hapo ndio shida kubwa ilipo
 

Absolutely right, ndoa kama zilivyo imani za kidini mara nyingi dhana yake imekua misunderstood kwa kiasi kikubwa.. Ndoa ni mkataba wa kushea Mapenzi. Kama Mapenzi hayapo tena maana yake huo mkataba unapoteza sifa.. kwahiyo swala la msingi sio kulazimisha Ndoa zisivunjike ila ni kutafuta mbinu za kuboresha Mapenzi ili Ndoa ziendelee kudumu.

People dont know how to distinguish between a lover and a sex mate.. Marriage must come out as a product of a profound love between two individuals and it has to remain that way for its legitimacy
 

Rubbish huyu Mjinga
 
Siyo kila mtu yupo kama wazazi wako. Ungesisitiza waache kukosa, siyo kutetea ujinga kwa jina la domestic violence. Feminism inaua taasisi ya familia.
 
Wazazi wenye Akili hawawezi kugombana na mbele ya watoto hao wazazi wako walikuwa wanahitirafiana sana tu sema walikuwa wana jitahidi kuhakikisha hampati athari yeyote ya kisaikolojia.
Wazazi wa zamani walikuwa na busara, lakini wa siku hizi sio kupigana tu mbele ya watoto mpaka kwenye kufanya mapenzi huwa wana fanya kwa sauti mpaka watoto wanasikia.
 
Kumbe umeathirika kisaikolojia tangu mtoto basi nimekuelewa.
Baba yako hakuwa sawa, wazazi wenye akili timamu sio kupigana tu mbele ya watoto hata kurushia cheche yeyote ya maneno mbele yao haitakiwi kabisa, ugomvi wa mke na mme huwa unaishia chumbani.
Hata hivyo kama baba yako alikuwa alikuwa anatimiza majukumu yake kama baba wa familia hutakiwi kuwa na chuki naye wala hutakiwi kuingilia ugomvi wa wazazi wako haukuhusu.
 
Mimi yangu ni mawili tu 1)tuache kuwasikiliza mafala akina kapola 2)Nashauri watu wasiwanyime wanawake makofi
 
Wewe nenda kwa topics za wale wanaochukia wanawake akina Natafuta Ajira , ndio mada zinazokuna mtima wako wa kuwa wounded from your mother, ukiona mada zinazosupport wanawake pita kushoto usiwe hurt your big ego.
Dah tumeanza kuchaguliana mpaka na mada za kuchangia, sasa mbona na nyinyi huwa mnaenda kuchangia hizo mada za natafuta ajira ambazo hazi wafai?
Hivi tukisema kila wana ndoa watakapo gombana waachane hii dunia itakuwa na ndoa hata moja kweli, maana hapa duniani huwezi kuisha na mtu miaka alafu msihitirafiane hata kidogo.
Nyinyi ukweli mnauita chuki, lakini ukweli ni kuwa nyinyi mafemenist mmekuwa tatizo kubwa sana ndani ya dunia hii hasa kwenye taasisi ya ndoa.
Mnadai 50 kwa 50 kwenye kutumia tu lakini linapo kuja kutimiza wajibu na majukumu ya kifamilia hapo 50 kwa 50 hamuitaki bali mzigo wote wanaangushiwa wanaume.

Uturuki mwaka juzi ilizipiga marufuku taasisi zote zinazo eneza itikadi za kifemenist ndani ya nchi hiyo maana waligundua ni itikadi iliyo jaa uovu na ushetani ndani yake na nyinyi mtafikiwa tu miaka sio mingi.
 
Kosa lolote suluhisho lake ni adhabu,yupo sahihi mwanamke akileta ujinga azibuliwe kisawa sawa akili imrudi.
 
Anaweza kuwa kaongea pumba kweli kulingana na uwelewa wako na jinsi ulivyochukulia hicho kipengere.

Ingawa uhalisia wa maisha ya kizazi hiki yana hicho alichosema.

Ndoa hazidumu, haki sawa inavunja gender na mamlaka, hao wanaojiita wachungaji/nabii wanahusika kuharibu na kuvunja Ndoa, wazazi wa kizazi kipya nao hawaelewi wafanye nini!.
 
Kua na familia imara ni bahati, hata uwe mjanja vipi au uwe makini vipi kwenye kuchagua kama bahati haipo upande wako talaka zitakuhusu.
Huwezi kuchagua mume au mke kwa sababu tabia za mtu haziandikwi kwenye paji la uso useme utazisoma ili ujue anakufaa au hakufai muhimu ni ninyi ndani ya nyumba yenu kila mmoja aijue mipaka yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…