Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kaonyesha chuki ya wazi kabisa kwa Lissu japo hakumtaja moja kwa moja ila katumia neno "kibaka mmoja" wakati anaongelea NO REFORMS ya CHADEMA akijaribu kumponda Lissu kwa mafumbo.Yaani km huyo wasira amekuwa kama ngermdere aliefukuzwa kwenye shamba la mahindi.
Halafu Hiyo No Reforms No Election si jambo la Lissu Binafsi, ni jambo la Watanzania woteKaonyesha chuki ya wazi kabisa kwa Lissu japo hakumtaja moja kwa moja ila katumia neno "kibaka mmoja" wakati anaongelea NO REFORMS ya CHADEMA akijaribu kumponda Lissu kwa mafumbo.
Tawala zote zinazoanguka huwa na kiburi na kuamini hakuna wa kuwatoa madarakani ila huo ndio uwa mwanzo wa anguko lao.Ni kwamba CCM hatuna Cha kuwafanya???
Tukubali hatima yetu mikononi mwao...???
Kuishi ama kuishia 2025.
Hivi unaziona tofauti kubwa zilizopo kati ya Makamu huyu (Wasira); na yule aliye omba kustaafu (Abdulrahman Kinana)?Unyakuo umeshafika
Yuko sahihi
Tundu Lissu kaifanya rahisi sana kueleweka kwa watu wengi; ndiyo sababu lawama zote wanazirundika kwake.Halafu Hiyo No Reforms No Election si jambo la Lissu Binafsi, ni jambo la Watanzania wote
Ccm kwa sasa opo kwenye bargaining stage wakielekea kwenye denial stage ,then wanaenda kwenye acceptance, biashara kwishaNimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii kutoka kwa viongozi wa CCM na Serikali, si za bahati mbaya, bali ni matokeo ya kukataa tamaa baada ya kuona umma umewakataa sasa wanaamua tu kuonyesha hasira na machungu yao.
Ukitaka kujua ana hasira na ana wivu wa kisiasa kwa wapinzani, anatumia neno "kibaka mmoja " katika kuhutubia wananchi bila shaka akimlenga Lissu ambae sasa yuko gerezani.
Kwa kifupi, wana hasira za kukataliwa na kuchokwa na makundi karibu yote katika jamiii na ndio maana sasa wameamua kubariki huu ukatili unaondelea waziwazi dhidi ya wapinzani(wako frustrated).
Bila kujua, wanatoa kauli za kuonyesha ni jinsi gani CHADEMA walivyo sahihi katika kudai REFORMS kabla ya uchaguzi.
Hakika Mungu fundi sana.
Unajuwa kapewa nafasi hiyo ya umakamu kwa sababu ya tabia hizo?Madaktari watusaidie, kwa Umri wa Wasirra Wa zaidi ya miaka 85 anaweza kuwa na akili timamu?
Hawezi huyo zinjathropus anatakiwa akae makumbusho wataliii wamuangalie tuingize hela. Hana akili, alipokuwa anamuongelea Martha Karua ndio nikajua hilo zee la manyani akili kisoda.Madaktari watusaidie, kwa Umri wa Wasirra Wa zaidi ya miaka 85 anaweza kuwa na akili timamu?
Wasira anayo chuki kubwa sana kwa Tundu Lissu. Kuna siku anahutubia watu akisema "HAKI ya mtu mmoja, ipuuzwe kwa HAKI za watu wengi".Kaonyesha chuki ya wazi kabisa kwa Lissu japo hakumtaja moja kwa moja ila katumia neno "kibaka mmoja" wakati anaongelea NO REFORMS ya CHADEMA akijaribu kumponda Lissu kwa mafumbo.
Pia ni maombi na matumaini ya wapenda haki wote kuwa wale wapenda amani isiyo na haki wanaenda kuanguka na kupotea tena kwa kishindo kikuu.Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii kutoka kwa viongozi wa CCM na Serikali, si za bahati mbaya, bali ni matokeo ya kukataa tamaa baada ya kuona umma umewakataa sasa wanaamua tu kuonyesha hasira na machungu yao.
Ukitaka kujua ana hasira na ana wivu wa kisiasa kwa wapinzani, anatumia neno "kibaka mmoja " katika kuhutubia wananchi bila shaka akimlenga Lissu ambae sasa yuko gerezani.
Kwa kifupi, wana hasira za kukataliwa na kuchokwa na makundi karibu yote katika jamiii na ndio maana sasa wameamua kubariki huu ukatili unaondelea waziwazi dhidi ya wapinzani(wako frustrated).
Bila kujua, wanatoa kauli za kuonyesha ni jinsi gani CHADEMA walivyo sahihi katika kudai REFORMS kabla ya uchaguzi.
Hakika Mungu fundi sana.
Wanaendelea kujaa kwenye mfumo.Huu usemi una ukweli "no permanent situation" waongoze milele wao ni akina nani?Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya:
"CCM haitatoka madarakani mpaka Yesu arudi".
Msingi wa kauli hii na ile ya hivi karibuni ya Waziri Mchengerwa na nyinginezo za aina hii kutoka kwa viongozi wa CCM na Serikali, si za bahati mbaya, bali ni matokeo ya kukataa tamaa baada ya kuona umma umewakataa sasa wanaamua tu kuonyesha hasira na machungu yao.
Ukitaka kujua ana hasira na ana wivu wa kisiasa kwa wapinzani, anatumia neno "kibaka mmoja " katika kuhutubia wananchi bila shaka akimlenga Lissu ambae sasa yuko gerezani.
Kwa kifupi, wana hasira za kukataliwa na kuchokwa na makundi karibu yote katika jamiii na ndio maana sasa wameamua kubariki huu ukatili unaondelea waziwazi dhidi ya wapinzani(wako frustrated).
Bila kujua, wanatoa kauli za kuonyesha ni jinsi gani CHADEMA walivyo sahihi katika kudai REFORMS kabla ya uchaguzi.
Hakika Mungu fundi sana.
Nimeona clip ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wasira katika akaunti ya Godbless Lema kwenye mrandao wa X ambapo Wasira anasikika akisema maneno haya: