mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
- #21
Alitumwa na Simba? Maana tunajua Manara alisema akiwa afisa habari wa simbaManara ni Afisa Habari wa Yanga na atakachosema ni msimamo wa klabu yake, labda viongozi waje waseme hatukumuagiza aongee, na pengine wampe adhabu. Lakini hakuna kiongozi wa Yanga aliyekuja kutengua au kukanusha kauli ya Afisa Habari wa Klabu, jambo linaloashiria kuwa alitumwa akaseme kuwa Yanga wote hamnazo isipokuwa wawili aliowataja