Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

Kutokana na ukweli kwamba mashabiki wa Simba wengi ni mbumbumbu basi ndo imekua karata kubwa kwa viongozi wengi wa simba kutumia huo umbumbumbu wao kama faida yao na hapo wamefanikiwa asimila 100

Je nini kifanyike ili hawa watani zetu wa jadi waondokewa na tatizo hili la umbumbumbu? Toa njia mbili za kuwasaidia.
 
Nilikuwa sehemu fulani naangalia mechi kati ya Yanga na Namungo, baada ya mechi kuisha kwa Yanga kupata ushindi wa goli moja, mashabiki kadhaa wa Simba wakawa wanashangilia kwa nguvu wanadai Yanga imeshinda kwa ushindi wa goli moja na siyo 5 kama ilivyo kawaida 😀 😀 😀

Nataka niwakumbushe kuwa mpira una matokeo ya aina tatu 1.kushinda 2.kushindwa na sare/suluhu
Vilevile kila timu huwa inajiandaa kupata ushindi, so hakuna mteremko,
Nb. aliyewaita mbumbumbu aliona mbali sana.
 
Back
Top Bottom