mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #21
Alitumwa na Simba? Maana tunajua Manara alisema akiwa afisa habari wa simbaManara ni Afisa Habari wa Yanga na atakachosema ni msimamo wa klabu yake, labda viongozi waje waseme hatukumuagiza aongee, na pengine wampe adhabu. Lakini hakuna kiongozi wa Yanga aliyekuja kutengua au kukanusha kauli ya Afisa Habari wa Klabu, jambo linaloashiria kuwa alitumwa akaseme kuwa Yanga wote hamnazo isipokuwa wawili aliowataja
Rage apewe utukufu[emoji23][emoji23]TAFUTA HELA KENGE WEWE...
Amewahi kutengua au kulazimishwa na uongozi wa Yanga kutengua alichosema? Kuhama kwake kunafutaje kauli yake zaidi ya yeye kurudi tena?Alitumwa na Simba? Maana tunajua Manara alisema akiwa afisa habari wa simba
Alisema akiwa yanga weweAlitumwa na Simba? Maana tunajua Manara alisema akiwa afisa habari wa simba
Na yule aliyesema yanga ni UTO....Tuachane na kauli ya mlevi haji manara baada ya kulewa wanzuki akatamka maneno hayo
Kuna kocha alisema nyie ni nyani kazi yenu kubwekabweka tu, alikuwa kocha wa timu gani?Mkuu we huoni izo kauli zote mbili zilitolewa na watu wa upande mmoja? Mmoja alikuwa akirusha kijembe kwa wapinzani wa timu yake kipindi hicho na mwingine alikuwa anawapa makavu live wanachama wenzake?
Haiondowi ukweli kwamba nyie ni hamnazo . Mambo mnayotafanya na kuropoka hovyo hadi sasa yanaonesha Manara na Luc Eymael walikuwa sahihi.Mkuu huna hoja, Maana ukitafuta mantiki ya kauli ya Haji Manara haipo, ni sawa na wewe ambaye tunakujua ni shabiki wa Simba useme Yanga wote hawana akili, Hapo hii kauli inakuwa ni ya kishabiki tu na Lengo ni ku wa provoke Yanga
EwaaaaaaaaaaahhhjHaiondowi ukweli kwamba nyie ni hamnazo . Mambo mnayotafanya na kuropoka hovyo hadi sasa yanaonesha Manara na Luc Eymael walikuwa sahihi.
Huwa hamjifichi . Kwenye kundi la Mashabiki wa timu 100 tofauti shabiki wa Yanga atajulikana tu kutokana na akili zao za kuropoka hovyo kama mazuzu vile
Tofauti kauli ya mtu mlevi km Manara na kauli ya mwenyekiti wetu Tena ndani ya mkutano mkuu wa Simba[emoji23][emoji23][emoji23]EwaaaaaaaaaaahhhjView attachment 2576349
Zidumu fikra za mwenyekiti RageeKauli ya mwenyekiti ndio kauli yenye uzito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naahidi kuchangia mifuko 10 ya cement. Kwa kweli anastahili hiyo heshima.Adeni Rage ajengewe sanamu pale msimbazi
Halafu siku ya kampeni eti amsafirisha Caesar Manzoki kitoka China, ili aje tu Kuwasalimia mashabiki!Kauli ya Rage ina uzito, Simba wengi ni mbumbumbu, mfano tu we angalia mtu km Mangungu ndio mwenyekiti wao
ZidumuZidumu fikra za mwenyekiti Ragee