Akina nani hao wasiogusika?Kumbe nae ni miongoni mwao?
Mbona hajasema na matendo ya mama yanazidi kufanya nchi itulie kwa sheria kufuata mkondo wake... maana wale waliokuwa juu ya sheria na hawakugusika... wakijikweza na kuumiza raia wasio na hatia msumeno sasa unaanza kukata...
Unasahau kuwa hata huyo Kristo ni hawa hawa wanaotuletea chanjo ndio walituletea. Unajua kama kina Pope Francis na ma don wote wa ukristu wameshachanjwa?
Hakuna chochote kitokeacho chini ya jua pasipo ruhusa ya MunguMungu wa Mbinguni hadhihakiwi kamwe. Subiri majibu yake kwa majira na nyakati zake.
Chapa ni alama ya kiroho zaidi na sio kimwiliHakuna cha tahadhari hapa wanatulazimiashia kutupiga chapa ya mpinga Kristo sisi Wakristo ili tuishie jehanamu kama wengine.
Kwani ukiwa hujachanjwa "homa ua manjano" ukisafiri inakuwaje mkuu?Mambo ya Kiroho haya. Ndui ilikuwepo miaka maelfu ulisikia wapi Mkristu yeyote akisema chanjo ya ndui ni chapa ya mpinga Kristo. Hujui kuwa ili usafiri safari za kimataifa lazima uwe na cheti cha chanjo ya homa ya manjano? Ulishasikia chanjo hiyo ikitwa ni chapa ya mpingi Kristo. Kwa nini corona?
Waisrael waliomzaa Yesu Kristo wamechanja nchi nzima. Mtanzania aliyeletewa dini ndani ya mtumbwi anaikejeli chanjo.Hakuna cha tahadhari hapa wanatulazimiashia kutupiga chapa ya mpinga Kristo sisi Wakristo ili tuishie jehanamu kama wengine.
Kumi kabisa (in ndugai voice)Mitano tena kwa mama atake asitake tutamuongezea mitano tena
Mwaka huu bei ya korosho itakuwa nzuri Sana Manji karudi,tumpe nn tena mamaKumi kabisa (in ndugai voice)
Acha kabisa, huu msimu nataka nitie hela kununua koroshoMwaka huu bei ya korosho itakuwa nzuri Sana Manji karudi,tumpe nn tena mama
Uwahi fanya booking ya guest kabisa zitajaa.Acha kabisa, huu msimu nataka nitie hela kununua korosho
Mkuu me ni Kama kwetu kule sifikii guest houseUwahi fanya booking ya guest kabisa zitajaa.
Kusini kuchelee mwakaa huu.
Nani kama mama kumi tena
Waisrael waliomzaa Yesu Kristo wamechanja nchi nzima. Mtanzania aliyeletewa dini ndani ya mtumbwi anaikejeli chanjo.
Chapa ni alama ya kiroho zaidi na sio kimwili
Je ni corona pekee ndo uchanjwa, vipi ndui, pepopunda na chanjo zingine utoto ni chapa ya nn.Soma ufunuo hiyo ni namba ya kibinadamu na kwa akili ya kibinadamu mwenye maarifa na afumbue hilo fumbo. Kaenda Kenya karudi na ushauri wa kutuchanja. Kazi iko na ndio imeanza...
Ukristo wetu wa kuletewa na mitumbwi tunauona ni bora na kujifanya wakristo kuliko wenye dini zao.Mjinga wewe hao hao walimkataa na kumsulubisha Bwana Yesu. Waambie Tanzania ya sasa wamempata mfuasi wao kindaki ndaki wa kueneza upinga Kristu waje wasaidiane naye
Unaongelea Mungu wa mbinguni ni wewe mwenye imani hiyo. Kumbuka Tanzania ina wapagani, ma Budha, wa Hindu ambao imani yao haiko kwa Mungu tinayemuamini mimi na wewe.Kutoka kumtegemea Mungu wa Mbinguni mpaka kutegemea barakoa na chanjo, ndipo alipotufikisha kama Taifa. Hachanjwi mtu hapa! Ndio.!!
Kama ambavyo tulifanikiwa kuhepa sharti la chanjo ya Homa ya Manjano mbinu hizi hizi zitatumika kwenye corona. Mawakala wampinga Kristo kazini.
Kutumia kwa nchi, watu wanasikilizia matokeo ya kauli zake. Moja inayo toa matumaini ni msisitizo kwa wateule wake kutenda kwa kutumia sheria. Ikumbukwe enzi za Magufuli utawala wa kisheria uliwekwa kandi, matokeo watu wakaishi kwa hofu.Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli
eti walikuwa wana jiita kikosi maalumu!! kwembe majambazi na wabakaji!!Timu watekaji imesinyaa dadadeq !! kazi hamna payroll imefungwa , njaa kali... kweli Dunia duara.