Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Bwanako mwendazake mbona alikuwa ni "mpinga Kristo" na hukuwahi kumpinga!!???
Na alimpingia pale madhabahuni st Peters dunia nzima ikimsikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwanako mwendazake mbona alikuwa ni "mpinga Kristo" na hukuwahi kumpinga!!???
Huyo aliye waaminisha kumtegemea mungu yeye yuko wapi na mategemeo yake!? Za kuambiwa changanya na zako.
Tikisa kichwa vizuri ujiangalie usijekuta huna ubongo.Upumbafu ni kufikiria barakoa na chanjo zitamtehemeza mwanadami na kumpa ulinzi kuliko ule wa Mungu wa Mbinguni. Kila mtu hawezi kufanywa puppet wa msoga.
Chadema wanampenda mama ila cha kushangaza MATAGA hawamuelewi mama. Wao bado wanaamini jamaa atafufukaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta.
Chadema wote wanashangilia ccm sasa hivi
Mpuzi Wacha kuandika uharooKutoka kumtegemea Mungu wa Mbinguni mpaka kutegemea barakoa na chanjo, ndipo alipotufikisha kama Taifa. Hachanjwi mtu hapa! Ndio.!!
Kama ambavyo tulifanikiwa kuhepa sharti la chanjo ya Homa ya Manjano mbinu hizi hizi zitatumika kwenye corona. Mawakala wampinga Kristo kazini.
Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.
Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe unazo weka hapa.
1. Mimi na Magufuli ni kitu kimoja
Ikumbukwe mara baada ya kufariki rais Magufuli liliibuka kundi likiongozwa na Tundu Lissu na Lema likawa linashangilia kifo hicho, hali hiyo ilienea hadi kwa baadhi ya wabunge kama Nape na Makamba, badala ya kujadili bajeti wakawa wanajadili nani ni zaidi kati ya Magufuli na Samia!
Hali hiyo iliwakera sana wazalendo wa nchi yetu na rasmi likaibuka kundi jingine lililobatizwa jina la walinda legacy ya Magufuli, moja ya watu wa kundi hili waliojitokeza hadharani kukemea ni mbunge Lusinde, pia Lazaro Nyalandu aliyekuwa kada wa Chadema alikemea hadharani na kutangaza kuachana na Chadema kwa kitendo chao cha kumtukana alipohudhuria msiba Chato.
Katikati ya mvurugano huo aliibuka rais Samia na kuwachana live Wabunge na Chadema kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja na serikali yake ya awamu ya sita haijatokana na uchaguzi mbali imetokana yeye Samia kuaminiwa na hayati Magufuli na kufanywa kuwa makamu wa rais.
Kauli hii ya Samia ililifanya kundi la walinda Legacy kuibuka kidedea dhidi ya kundi la washangilia kifo hivyo nchi kutulia.
2. Wala rushwa, wazembe majambazi na mafisadi kuendelea kubanwa
Rais Samia alitangaza hadharani kwamba katika masuala ya rushwa atasimama imara na akamtumbua mkurugenzi wa bandari na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi BOT na wizara ya fedha. Pia kuwajibisha wote waliojaribu kuchezea mifumo ya Tanesco, TRA na bandari.
Hatua hizi zilifanya nchi kutulia kwa sababu watanzania wengi waliona rasilimali zao bado ziko salama kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano chini ya hayati Magufuli.
Kauli siku zote huwa ni kauli tu za kusikiliza na kusahau au kupuuza kabisa na na lolote lisiharibike wala kutengemaa maana huweza kutamkwa na mtu yeyote. Mwendazake ni amekwenda zake hatarudi tena kwa hiyo hawezi kuwa kitu kimoja na aliye hai maana haiwezekani hata walio hai wawili wanaoishi pamoja wakawa kitu kimoja hata wakiwa wamezaliwa tumbo moja. Make na mumeAmani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.
Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe unazo weka hapa.
1. Mimi na Magufuli ni kitu kimoja
Ikumbukwe mara baada ya kufariki rais Magufuli liliibuka kundi likiongozwa na Tundu Lissu na Lema likawa linashangilia kifo hicho, hali hiyo ilienea hadi kwa baadhi ya wabunge kama Nape na Makamba, badala ya kujadili bajeti wakawa wanajadili nani ni zaidi kati ya Magufuli na Samia!
Hali hiyo iliwakera sana wazalendo wa nchi yetu na rasmi likaibuka kundi jingine lililobatizwa jina la walinda legacy ya Magufuli, moja ya watu wa kundi hili waliojitokeza hadharani kukemea ni mbunge Lusinde, pia Lazaro Nyalandu aliyekuwa kada wa Chadema alikemea hadharani na kutangaza kuachana na Chadema kwa kitendo chao cha kumtukana alipohudhuria msiba Chato.
Katikati ya mvurugano huo aliibuka rais Samia na kuwachana live Wabunge na Chadema kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja na serikali yake ya awamu ya sita haijatokana na uchaguzi mbali imetokana yeye Samia kuaminiwa na hayati Magufuli na kufanywa kuwa makamu wa rais.
Kauli hii ya Samia ililifanya kundi la walinda Legacy kuibuka kidedea dhidi ya kundi la washangilia kifo hivyo nchi kutulia.
2. Wala rushwa, wazembe majambazi na mafisadi kuendelea kubanwa
Rais Samia alitangaza hadharani kwamba katika masuala ya rushwa atasimama imara na akamtumbua mkurugenzi wa bandari na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi BOT na wizara ya fedha. Pia kuwajibisha wote waliojaribu kuchezea mifumo ya Tanesco, TRA na bandari.
Hatua hizi zilifanya nchi kutulia kwa sababu watanzania wengi waliona rasilimali zao bado ziko salama kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano chini ya hayati Magufuli.
Kazi inaendelea kwa kasiKauli siku zote huwa ni kauli tu za kusikiliza na kusahau au kupuuza kabisa na na lolote lisiharibike wala kutengemaa maana huweza kutamkwa na mtu yeyote. Mwendazake ni amekwenda zake hatarudi tena kwa hiyo hawezi kuwa kitu kimoja na aliye hai maana haiwezekani hata walio hai wawili wanaoishi pamoja wakawa kitu kimoja hata wakiwa wamezaliwa tumbo moja. Make na mume
Mpuzi Wacha kuandika uharoo
Watu kama wewe Mungu huyo huyo huwa anawapa mapigo mazito sana.Upumbafu ni kufikiria barakoa na chanjo zitamtehemeza mwanadami na kumpa ulinzi kuliko ule wa Mungu wa Mbinguni. Kila mtu hawezi kufanywa puppet wa msoga.
Watu kama wewe Mungu huyo huyo huwa anawapa mapigo mazito sana.
Timu watekaji imesinyaa dadadeq !! kazi hamna payroll imefungwa , njaa kali... kweli Dunia duara.
Lumumba FC mataga football team check namba imefutika hakuna matumaini tena ya payroll.Hadi zimewarudi toka likizo Chato
RvwvAmani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli.
Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe unazo weka hapa.
1. Mimi na Magufuli ni kitu kimoja
Ikumbukwe mara baada ya kufariki rais Magufuli liliibuka kundi likiongozwa na Tundu Lissu na Lema likawa linashangilia kifo hicho, hali hiyo ilienea hadi kwa baadhi ya wabunge kama Nape na Makamba, badala ya kujadili bajeti wakawa wanajadili nani ni zaidi kati ya Magufuli na Samia!
Hali hiyo iliwakera sana wazalendo wa nchi yetu na rasmi likaibuka kundi jingine lililobatizwa jina la walinda legacy ya Magufuli, moja ya watu wa kundi hili waliojitokeza hadharani kukemea ni mbunge Lusinde, pia Lazaro Nyalandu aliyekuwa kada wa Chadema alikemea hadharani na kutangaza kuachana na Chadema kwa kitendo chao cha kumtukana alipohudhuria msiba Chato.
Katikati ya mvurugano huo aliibuka rais Samia na kuwachana live Wabunge na Chadema kwa ujumla kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja na serikali yake ya awamu ya sita haijatokana na uchaguzi mbali imetokana yeye Samia kuaminiwa na hayati Magufuli na kufanywa kuwa makamu wa rais.
Kauli hii ya Samia ililifanya kundi la walinda Legacy kuibuka kidedea dhidi ya kundi la washangilia kifo hivyo nchi kutulia.
2. Wala rushwa, wazembe majambazi na mafisadi kuendelea kubanwa
Rais Samia alitangaza hadharani kwamba katika masuala ya rushwa atasimama imara na akamtumbua mkurugenzi wa bandari na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi BOT na wizara ya fedha. Pia kuwajibisha wote waliojaribu kuchezea mifumo ya Tanesco, TRA na bandari.
Hatua hizi zilifanya nchi kutulia kwa sababu watanzania wengi waliona rasilimali zao bado ziko salama kama ilivyokuwa wakati wa awamu ya tano chini ya hayati Magufuli.
GtAmani iwe nanyi,