Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu.
Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa mbaya (sikatai Wala Sina pingamizi).
Mtu huyo huyo anatamka tena hadharani, Mafuta yataendelea kupanda Bei ( hapa anasahau kuwa kwa yeye kutamka hivi atafanya wafanyabiashara kupandisha Bei kiholela kwa madai ya Mafuta kupanda Bei)
Kwa level ya Rais alitakiwa kuhakikisha anachukua hatua na sio kutangaza kitu ambacho MADHARA yake ni makubwa zaidi kuliko hata Ile kauli yake ya mwanzo. Anyway, Wacha maisha yaendelee.