Kauli mbili tata za Rais Samia

Kauli mbili tata za Rais Samia

Huyu mama alianza kulazamisha ili swala muda mrefu utasikia vitu vitapanda bei nauli na kila kitu. Badala ya yeye kukemea upandishwaji hovyo wa bidhaa yeye ndio anabariki.

Serikali wanataka kutumia mwanya huu wa kupanda bei kwa mafuta kuongeza kodi na tozo kimya kimya ili wavune pesa
Kuendelea kumkamua maziwa ng'ombe bila kumhudumia kwa malisho na maji itafika wakati hata maziwa yake yatakata. Kusudio lako litakosa tija na kuchochea masuala hasi yasiyotegemewa. Kwa mfano, nchi yenye utitiri wa kodi au kodi kubwa haiwezi kuvutia wawekezaji wa maana. Watakaopatikana watakuwa wale wajanja na wakwepa kodi. Kwa upande mwingine, utozaji kodi inabidi uendane na kuchukuliwa hatua za makusudi za kuongeza uzalishaji/kipato cha mwananchi kwa ujumla.
 
Kila mwananchi ana jukumu lake la kufanya katika ujenzi wa taifa hili. Badala ya kulaumu na kulalamika tufanye mambo yatakayotusaidia sote wananchi na watawala.
Nchi ya malalamiko, kuanzia watawala mpaka watawaliwa.


Kulalamika hakujawahi kusaidia kitu chochote popote
Busara ni kuja na solutions ya nini kifanyike
 
Kwani Mafuta yetu yutaanza kuchimba Lini?
Wachimbe wapi sasa hivi wanagemea Msumbiji!! ndo mkondo huo huo! chini kwa chini!....Wamakonde walijifanya wajanja Wazungu wakaona itakuwa shida sasa wamekimbilia Msumbiji!

na hawana mpango wa kurudi
 
Back
Top Bottom