Kuendelea kumkamua maziwa ng'ombe bila kumhudumia kwa malisho na maji itafika wakati hata maziwa yake yatakata. Kusudio lako litakosa tija na kuchochea masuala hasi yasiyotegemewa. Kwa mfano, nchi yenye utitiri wa kodi au kodi kubwa haiwezi kuvutia wawekezaji wa maana. Watakaopatikana watakuwa wale wajanja na wakwepa kodi. Kwa upande mwingine, utozaji kodi inabidi uendane na kuchukuliwa hatua za makusudi za kuongeza uzalishaji/kipato cha mwananchi kwa ujumla.Huyu mama alianza kulazamisha ili swala muda mrefu utasikia vitu vitapanda bei nauli na kila kitu. Badala ya yeye kukemea upandishwaji hovyo wa bidhaa yeye ndio anabariki.
Serikali wanataka kutumia mwanya huu wa kupanda bei kwa mafuta kuongeza kodi na tozo kimya kimya ili wavune pesa
Nchi ya malalamiko, kuanzia watawala mpaka watawaliwa.
Bado anasisitiza AKUNWE kwa staraPetro Yuko wapi?
Wachimbe wapi sasa hivi wanagemea Msumbiji!! ndo mkondo huo huo! chini kwa chini!....Wamakonde walijifanya wajanja Wazungu wakaona itakuwa shida sasa wamekimbilia Msumbiji!Kwani Mafuta yetu yutaanza kuchimba Lini?
Kama nimfuatiliaji wa siasa utajua kuna limoti ipo pembeni inamkontro.Kawekwa na Nani!!?
Kawa rais kwa mujibu wa Katiba...kawekwa na Nani!?Kama nimfuatiliaji wa siasa utajua kuna limoti ipo pembeni inamkontro.
your heroRest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan
Walimwengu hawana jema wallah
Yesyour hero
Ila wanasema rushwa ilikidhiri San ktk utawala wakeKenyata ni Rais bora kabisa kuwahi kutokea