Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
 
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
 
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Mwanaume wa darislam
 
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
Hata kama anawaza hawez kufunguka kwa sababu anajua mtakwazana. Na wao kabla ya kurusha ndoano huwa wanaweka urafiki kidogo hapo kwenye urafiki anakusoma kwamba je huyu anaonyesha interest kidogo na mimi au ananikazia sana kwenye udada na ukaka. Hivyo hata mkionana hawezi kuvuka zaidi sababu anaona huna muda wa hizo nafasi nyingine
 
Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
Hahaaa. Yaani hao ndio changamoto wa nyumbani.
 
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Aah Kanali mbona unatuangusha. .[emoji23] [emoji23]
 
Kwa akili zangu me au ke humu akitengeneza mazingila ya kuonana cha lengo kuu ni hilo mengine itokee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…