Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kweli kabisa wa nyumbani. Na hizo Imagination za kwamba fulani atakuwa hivi ndio inakuwa sababu ya yote hayo.

Mie naona tuzidi kuwa makini na maandishi ya watu sababu wengine ndio kama hao yaani kajaribu kujikaza kutokuanzisha uzi ila kajikuta kashindwa lol.
Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
 
Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
 
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Mwanaume wa darislam
 
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
Hata kama anawaza hawez kufunguka kwa sababu anajua mtakwazana. Na wao kabla ya kurusha ndoano huwa wanaweka urafiki kidogo hapo kwenye urafiki anakusoma kwamba je huyu anaonyesha interest kidogo na mimi au ananikazia sana kwenye udada na ukaka. Hivyo hata mkionana hawezi kuvuka zaidi sababu anaona huna muda wa hizo nafasi nyingine
 
Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
Hahaaa. Yaani hao ndio changamoto wa nyumbani.
 
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Aah Kanali mbona unatuangusha. .[emoji23] [emoji23]
 
Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Kwa akili zangu me au ke humu akitengeneza mazingila ya kuonana cha lengo kuu ni hilo mengine itokee tu
 
Back
Top Bottom