Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Umeshachelewa Mkuu.Bac mie ntakuwa mwana JF wa kwanza kukuomba unyumba. Plz count on me as your future project...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Umeshachelewa Mkuu.Bac mie ntakuwa mwana JF wa kwanza kukuomba unyumba. Plz count on me as your future project...
Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.Kweli kabisa wa nyumbani. Na hizo Imagination za kwamba fulani atakuwa hivi ndio inakuwa sababu ya yote hayo.
Mie naona tuzidi kuwa makini na maandishi ya watu sababu wengine ndio kama hao yaani kajaribu kujikaza kutokuanzisha uzi ila kajikuta kashindwa lol.
Why?Hahaaa. Umeshachelewa Mkuu.
Hahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Mwanaume wa darislam"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Napenda kuchati nanmtu ambaye hajavaa nguo ya ndaniMbona mimi unanisumbua pm kila siku sijakufungulia uzi? [emoji23]. Kwanza ngoja nikufuate pm leo
Baada ya kugonga mwamba kwa Mzigua, sasa naji import kwa mtt Emmy...Mbona mimi unanisumbua pm kila siku sijakufungulia uzi? [emoji23]. Kwanza ngoja nikufuate pm leo
Hata kama anawaza hawez kufunguka kwa sababu anajua mtakwazana. Na wao kabla ya kurusha ndoano huwa wanaweka urafiki kidogo hapo kwenye urafiki anakusoma kwamba je huyu anaonyesha interest kidogo na mimi au ananikazia sana kwenye udada na ukaka. Hivyo hata mkionana hawezi kuvuka zaidi sababu anaona huna muda wa hizo nafasi nyingineHahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.
Ili uone nini kwenye maandishi?Napenda kuchati nanmtu ambaye hajavaa nguo ya ndani
Hahaaa. Yaani hao ndio changamoto wa nyumbani.Bora aanzishe uzi aongelee vizuri kama huyu hajaandika kibaya. Kuna mwingine utakuta mmemaliza kuachana anakuja kuweka uzi humu halafu anavyoongelea unaona kabisa anakugusa wewe na anaweka vitu ambavyo vitakuumiza.
Aah Kanali mbona unatuangusha. .[emoji23] [emoji23]"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona niufungue tu uzi maana roho ilikuwa inakereketa
Mmh.Baada ya kugonga mwamba kwa Mzigua, sasa naji import kwa mtt Emmy...
Mkuu kunawatu wamekuwa miili tu lakini akili bado ipo kwenye kunyonya.Kwenye hii dunia bado kuna mianaume menzetu misnitch namna hii?
Sasa hewa kama huyu akipewa uchi hivi itakuaje?
Aisee,this is sad kabisa!
Unafungua uzi so what?Au unawaambia watu so what?
You need help aisee!
Kwa akili zangu me au ke humu akitengeneza mazingila ya kuonana cha lengo kuu ni hilo mengine itokee tuAcha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Mwana jf keshawahi khatar sanaHahaaa. Umeshachelewa Mkuu.
Wanakuvutia siku ukikidhi vigezo vyao lazima utachomekewa tu labda kama mlikutana kwa ajili ya kazi au mambo mengine muhimuHahaa. Hiyo ni kwa wale ma Single ila kama mie haijawahi nitokea Wanyumbani sababu wote ninaoonana nao hakuna aliyewaza tofauti nadhani sababu ni hiyo.