Usifikili kila mtu anakulupuka unasomwa mpaka ajiridhishe ukiwekwa kwenye kona hutoki ata kwa gleda.Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.
Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.
Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Hahahaaa. Basi achana nacho tu. [emoji85]Nikuambie hapahapa kwenye hadharaaa au nikuambie pm?
Nimekubali ww ni muhenga mwenzetuHahahaaa. Basi achana nacho tu. [emoji85]
Hahaaaa. Haya bana hivyo unataka kuniaminisha kwamba hata mie nikisema tunakuja kuonana bado nitegemee tongozo. Teh tehUsifili kila mtu anakulupuka unasomwa mpaka ajiridhishe ukiwekwa kwenye kona hutoki ata kwa gleda.
Ila kwa wa owaji ndo hupita njia ndefu
Nimeku-ad kwenye list tyr
Hahaaa. Haya bana.Nimeku-ad kwenye list tyr
Ha ha ha haaa kama umesema wewe tuonane jukumu nilako hivyo utaamua kutia tongozo au kuita kaka.Hahaaaa. Haya bana hivyo unataka kuniaminisha kwamba hata mie nikisema tunakuja kuonana bado nitegemee tongozo. Teh teh
Ila huyo hajamsema bhana wala hamna code yeyote ya kutambua chochotekwa style hii ni vyema tuwe tunaonana tu kwenye mabandiko🙂
Mnaanzaga hivi hivi sijui kushibana mara anapigwa mtu mashine......wanawake washamba wanapotea duniani hence waolewaji wanapotea[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahahaaaa. Yaani Kaka kwa ulivyonizungusha kuniambia hayo majina ya kukuita hapo ni dhahiri kwamba wapo watu wanaonana na wala swala la mitongozo huwa halipo yaani ni kuheshimiana kwa kwenda mbele.Ha ha ha haaa kama umesema wewe tuonane jukumu nilako hivyo utaamua kutia tongozo au kuita kaka.
Ikiwa ni kaka basi tumia binam ili urafiki ukinoga iwe rahisi kusaidia kimwili pia.
Nijuavyo mimi marafiki husaidiana kwa kilahali.
Hahahaaaa. Itakuwa mie niko nyuma aiseee! Sinaga imani hizo wala mawazo hayo aisee.Mnaanzaga hivi hivi sijui kushibana mara anapigwa mtu mashine......wanawake washamba wanapotea duniani hence waolewaji wanapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Yaani Kaka kwa ulivyonizungusha kuniambia hayo majina ya kukuita hapo ni dhahiri kwamba wapo watu wanaonana na wala swala la mitongozo huwa halipo yaani ni kuheshimiana kwa kwenda mbele.
Hiyo kusaidiana kwa kila hali mie naona ni kwa hali zingine ila sio ya kuunganisha vikojolea. Hahahaaaa.
Hamna bwana. Wengine urafiki tu. Sio mpaka kutaka unaoonana nao mgegedaneKwa akili zangu me au ke humu akitengeneza mazingila ya kuonana cha lengo kuu ni hilo mengine itokee tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saint Ivuga tangu lini mi najuana na wewe eti?Ha ha haaaa unavyo ongea kama mnajuana yani utakua unajua vingi ndugu yangu ntakutembelea siku