Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahaaaa. Inategemea ntu na ntu hapo bwana.

Na pia mnatutisha sasa jamaani. Ila wapo wengine wana heshima zao yaani hawana hata hayo mawazo aiseee kabisa yaaani hayo mawazo ya kututokea hawana.

Hivyo kaka sio wote wana mawazo hayo.
Usifikili kila mtu anakulupuka unasomwa mpaka ajiridhishe ukiwekwa kwenye kona hutoki ata kwa gleda.

Ila kwa wa owaji ndo hupita njia ndefu
 
Usifili kila mtu anakulupuka unasomwa mpaka ajiridhishe ukiwekwa kwenye kona hutoki ata kwa gleda.

Ila kwa wa owaji ndo hupita njia ndefu
Hahaaaa. Haya bana hivyo unataka kuniaminisha kwamba hata mie nikisema tunakuja kuonana bado nitegemee tongozo. Teh teh
 
Natamani sana kugegeda demu wa JF ila sitamfungulia uzi
 
Hahaaaa. Haya bana hivyo unataka kuniaminisha kwamba hata mie nikisema tunakuja kuonana bado nitegemee tongozo. Teh teh
Ha ha ha haaa kama umesema wewe tuonane jukumu nilako hivyo utaamua kutia tongozo au kuita kaka.
Ikiwa ni kaka basi tumia binam ili urafiki ukinoga iwe rahisi kusaidia kimwili pia.
Nijuavyo mimi marafiki husaidiana kwa kilahali.
 
Hivi kwani kuonana kwa member wa jf mpaka wale wakuunganisha vikojoleo. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mnaanzaga hivi hivi sijui kushibana mara anapigwa mtu mashine......wanawake washamba wanapotea duniani hence waolewaji wanapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha ha ha haaa kama umesema wewe tuonane jukumu nilako hivyo utaamua kutia tongozo au kuita kaka.
Ikiwa ni kaka basi tumia binam ili urafiki ukinoga iwe rahisi kusaidia kimwili pia.
Nijuavyo mimi marafiki husaidiana kwa kilahali.
Hahahaaaa. Yaani Kaka kwa ulivyonizungusha kuniambia hayo majina ya kukuita hapo ni dhahiri kwamba wapo watu wanaonana na wala swala la mitongozo huwa halipo yaani ni kuheshimiana kwa kwenda mbele.

Hiyo kusaidiana kwa kila hali mie naona ni kwa hali zingine ila sio ya kuunganisha vikojoleo. Hahahaaaa.
 
Mnaanzaga hivi hivi sijui kushibana mara anapigwa mtu mashine......wanawake washamba wanapotea duniani hence waolewaji wanapotea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Itakuwa mie niko nyuma aiseee! Sinaga imani hizo wala mawazo hayo aisee.
 
narudia tena na tena,mademu wa jf wengi wabovu.lakini wana mbwembwe hatari.kuna mmoja huyo kila baada ya dk anakuja nauzi mpya kuhusu wanaume.
 
Hahahaaaa. Yaani Kaka kwa ulivyonizungusha kuniambia hayo majina ya kukuita hapo ni dhahiri kwamba wapo watu wanaonana na wala swala la mitongozo huwa halipo yaani ni kuheshimiana kwa kwenda mbele.

Hiyo kusaidiana kwa kila hali mie naona ni kwa hali zingine ila sio ya kuunganisha vikojolea. Hahahaaaa.

Rafiki kabsaa meshibana kapata kahoma anakuita umpikie uji huwezi kataa najua sasa basi bahati mbaya au nzuri kasimama atakuomba umkalishe jee utakataa?
 
Back
Top Bottom