Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana


Nimecheka sana sikutaka kuchangia huu uzi ila na mimi nimeshindwa kama alivyoshindwa mwanzisha uzi. Kwako jimbo liko wazi au tayari kuna mbunge?
 
Tena bila kuulizana ilikuaje mbona raha tu marafiki hawadhuriani zaidi ni kusaidiana. Nimeunga mkono hoja
 
kweli kabisa. mbona miimi na wee tunakutanisha na hakuna anayejua zaidi yangu mimi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…