Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.

Nimecheka sana sikutaka kuchangia huu uzi ila na mimi nimeshindwa kama alivyoshindwa mwanzisha uzi. Kwako jimbo liko wazi au tayari kuna mbunge?
 
Ila kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.
Tena bila kuulizana ilikuaje mbona raha tu marafiki hawadhuriani zaidi ni kusaidiana. Nimeunga mkono hoja
 
Ila kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.
kweli kabisa. mbona miimi na wee tunakutanisha na hakuna anayejua zaidi yangu mimi na wewe
 
Back
Top Bottom