Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
uko sahihiKwani mtu kukwambia hivyo ndo kwamba hajiheshimu? Mtu hajataka tu awekewe bango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uko sahihiKwani mtu kukwambia hivyo ndo kwamba hajiheshimu? Mtu hajataka tu awekewe bango.
Acha utani Emmy ina maana kama umekutana na mtu humu na anajua uko single na umemvutia unadhani hatatangaza nia ya kuchukua jimbo? Labda kama wanajua umeolewa au uko na mchumba ndo hawataweza maana itakua sio adabu ila wakijua jimbo huru watajaribu tu kutupia wajaribu bahati zao.
Hahahaaa. Ila sio poa mkuu. Utakuta na wewe moyoni walikuona mshamba ila wakamezea tu.wengi tu na wengine washaanza kuja kumwaga povu hapa...
mashauzi ya hapa unakuja kuonana na demu doohh...Ngoja uloonana nao waje. Yani unawasema wabovu baada ya kuwaona? Kwahiyo ulikua wafanya research au?
Hahahaaa. Yale ya jana tuliyoyasema Dada yamejirudia. lolmmmh[emoji15]
Na wewe utaitwa mbovu shauriloAringe. Utakuta ndo wale wale kina Masoud.
Tena bila kuulizana ilikuaje mbona raha tu marafiki hawadhuriani zaidi ni kusaidiana. Nimeunga mkono hojaIla kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.
Wakajambe mbele. Siku wakinidiskasi mimi ntawasaidia na picha na chat ili wasipate tabu sana kutunga.Watu tunabadili Id mchezo!
Wanakujadili mpaka rangi ya ulimi
Mi liko huru kwa kweli ila kuna wabunge watangaza nia.Nimecheka sana sikutaka kuchangia huu uzi ila na mimi nimeshindwa kama alivyoshindwa mwanzisha uzi. Kwako jimbo liko wazi au tayari kuna mbunge?
siwezi kuwa mshamba .....ndo maana kaz nyingi once mkichat mkiexchange pcs t...demu ndo anafoc kuonana....Hahahaaa. Ila sio poa mkuu. Utakuta na wewe moyoni walikuona mshamba ila wakamezea tu.
Kwahiyo ukishawaona wabovu unawapotezea au?mashauzi ya hapa unakuja kuonana na demu doohh...
sema nyingine zinafaa kwa matumizi ya binadam unaweka umalizane tu.
Mimi bado sijawahi kuonana rafikiHahahaaa. Eti ni kweli rafiki au wewe hujawahi onana na mtu humu?
Umeonaaa eeh.Wakajambe mbele. Siku wakinidiskasi mimi ntawasaidia na picha na chat ili wasipate tabu sana kutunga.
anataka tugegedane mimi na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saint Ivuga tangu lini mi najuana na wewe eti?
Nshawahi kukushauli wa aina hii usitie nenoUshamuona?
Kweli?Mimi ukinipm tu nakufungulia uzi.
Hahahaaa. Sawa rafiki.Mimi bado sijawahi kuonana rafiki
kuna kazi zinafaa kwa matumiz ya binadam.ila wengine unaon kabisa hapa namdisvalue abdala kichwa waziKwahiyo ukishawaona wabovu unawapotezea au?
kweli kabisa. mbona miimi na wee tunakutanisha na hakuna anayejua zaidi yangu mimi na weweIla kupigwa mashine sio mbaya pia. Humu tunaishi jinsia tofauti. Ikitokea watu wamekutanisha vikojoleo hata sio story. Labda kama mmoja wenu alitaka kukutanisha vikojoleo akajisifu kakutanisha kikojoleo na mtu humu. Ila kama tunakutanisha vikojoleo vyetu kiuutu uzima hamna kusikia kwa nani wala nani mbona sio mbaya jamani.