Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sasa ukisubiri kuaminishwa mama utaitwa mbovu wakati unajiona queen.Ha ha ha ha ha nimependa kujiamini kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ukisubiri kuaminishwa mama utaitwa mbovu wakati unajiona queen.Ha ha ha ha ha nimependa kujiamini kwako
Kwa kweli leo humu nafurahia mapovu tu.Usishtuke na maneno ya watu humu wee furahi tu kuna wazushi humu na kila aina ya watu tumo humu.
Sipendi kutangaziana mambo ya private. Unasema huku ili upate sifa au?Mie tayari tena Mzigua90...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyo kaka anaitwa B. Handsome fulani hivi sema malaya jamani.Nahisi tulishea
Wabunge ni vivuli mkuu. [emoji1][emoji2][emoji2]
msomi.Una level gani ya elimu?
Sitakunali kabsaa swahiba anajulikana sio mpaka aulizwe jimbo.Hapana mkuu, Mzigua90 ni swahiba tu, hatuzuliani. Hata hivyo mie jimbo halipo wazi, itokee tu uchaguzi mdogo lakini mbunge yupo...
Naomba tuonane kama hautojali.Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.
Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.
Poleni msiochuja wa kuonana nao.
Samahani sirudii....sometimes naona ufahari kutangazia umma kuwa niko na wewe ili wajue mie dume la mbegu. Sirudii....Sipendi kutangaziana mambo ya private. Unasema huku ili upate sifa au?
Ehee acha nishuhudie tongozo la kihenga aibu ataona yeye ha ha haaa
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Unavyokuja ndo unavyopokelewa. Ukija kirafiki utapokelewa kirafiki until further notice. Ukija ki upigaji utakaa kwenye dustbin. Ninaochat nao na nilionana nao walikuja kistaarabu hadi mtu unaona aibu kwamba ni nini hicho unachokificha mpaka hutak kuonana na watu.
unaonekana una k tam.
wacha povu sasa hapo neno kali ni lip?Mkuu kwa huu uandishi mkali, punguza kidogo, ujue hapa ni sehem ya kufurahi tu, dont take it too serious.
Hao wabunge vivuli tu. Wapo kama hawapo.hahahahaaa kwamba hao ni wale wa kuteuliwa na mheshimiwa au wa viti maalum?
Wanaume malaya watamu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyo kaka anaitwa B. Handsome fulani hivi sema malaya jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Sitakunali kabsaa swahiba anajulikana sio mpaka aulizwe jimbo.
Uzuri wenye majimbo tunajali hivyo ni rahisi kuongezewa kata tuendelee
Sawa yameishaSamahani sirudii....sometimes naona ufahari kutangazia umma kuwa niko na wewe ili wajue mie dume la mbegu. Sirudii....
Kwanini jamani?[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Unafunguka khatariiii[emoji39]