Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Kauli utakayosisitizwa na mdada wa JF siku mkionana

Hahaaaaa. Mpaka mtu anakubali kuonana na member mwenzie inaonyesha dhahiri amekubaliana na yote. Sasa hayo ya kuambiana usinifungulie uzi yanafuata nini nadhani ni kutokujiamini tu hapo.

Pia kuna watu ukionana nao yaani kwa jinsi mnavyokuwa mmeshibana hata hayo mawazo huwa hayapo kabisa zaidi ya kufurahi kwa kufanikiwa kuonana.

Poleni msiochuja wa kuonana nao.
Naomba tuonane kama hautojali.
 
Unavyokuja ndo unavyopokelewa. Ukija kirafiki utapokelewa kirafiki until further notice. Ukija ki upigaji utakaa kwenye dustbin. Ninaochat nao na nilionana nao walikuja kistaarabu hadi mtu unaona aibu kwamba ni nini hicho unachokificha mpaka hutak kuonana na watu.
[emoji8] [emoji8] [emoji8]


Unafunguka khatariiii[emoji39]
 
Sitakunali kabsaa swahiba anajulikana sio mpaka aulizwe jimbo.

Uzuri wenye majimbo tunajali hivyo ni rahisi kuongezewa kata tuendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom