Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

Mabeyo unamlaumu nini kwa kutumia mamlaka yapi kikatiba aliyonayo mpaka alaumiwe kwa kushiriki "kujadili" tangazo litolewe na nani?

Yeye ni Mwanasheria Mkuu au Katibu Mkuu?
Na unalaumu vipi mtu kwa kujadili suala la kikatiba. Kwa kuwa ni katiba basi huwa inajiendesha automatically bila mjadala, bunge lingekuwa la nini sasa.
 

..swali langu ni kwanini Mabeyo hakuwa akimpa taarifa Makamu wa Raisi / Kaimu Raisi.

..kwanini aliwataarifu Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi kabla ya Makamu wa Rais ambaye kwa hali ya kiafya ya Rais alikuwa / alipaswa kuwa KAIMU RAISI?

..Suala la maradhi na kuugua kwa Raisi Magufuli ilikuwa ni jambo linalotakiwa kusimamiwa na Makamu wake.
 
Interesting...
 
Ndio maana akasema walirudi kweye katiba
 
Sirro mwenyewe alitaka iwe ila Mabeyo aligoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…