Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #41
Baada ya mashauriano marefu ndo ikaonekana kuwa ni makamu wa raisi pekee ndo mwenye mamlaka ya kutangaza kifo cha kiongozi mkuu yoyote wa serikali, na sio KM kiongozi wala Prime minister. Hivyo makamu akaapewa taarifa na baadae akatangaza kifo hicho.Nani sasa alimwambia kuwa makamu ndiyo anastahili kutangaza kifo Cha Rais?