Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Au alijua ila hakuwa na jinsi. Au alijua na alikuwa mmoja wao. Haya matatu yote yanawezekana.Sure mkuu Mabeyo alitumika bila kujua na alipojua ndipo alipoamua akae pembeni kwahiyo bila shaka atakuwa na Majuto tu
Kauli ya kwamba familia pia ilikuwa haijui inafikirisha sana, yaani mke wake Mama Janeth hakuwa karibu na mumewe kumuhudumia....... mpaka anafariki??
Kwani una hakika alifariki lini, mkuu?Hii Nchi wapumbavu, kanjanja, mazuzu ni kibao. Ipo mijitu ilituaminisha Jiwe kavuta wiki mbili kabla ya kifo chake sijui ilikua ikiwaza nini.
Nimekuelewa..Sielezei kuwa kuna kitabu kinaandikwa, nasema kuwa kikiandikwa tutashangaa mengi.
Haya mambo yote yatakuja kujukikana, si unaona wanazidi kujifungua kika muda unavyokwendq?
Hawa wazee wengine wakifikia karibu na kufa wanafunguka na kuweka mambo wazi.
Wakati tunafumua mambo ya EPA mitandaoni, nani alijua kwamba Mkapa atakubali kwamba walipiga pesa za EPA? Lakini kakubali, kaandika kwenye kitabu chake.
Ya uchungu sana,kacheka,kanuna ,akalia ni mengi moyoni.Yale machozi yanaonyesha alipambana na mengi.
Kabisa kabisaAt the end hao watu walikuwa sahihi
Uhaba wa taarifa unawafanya watu wakisie sana.Hiyo yote inaonekana ni kwa amri kutoka juu, amri yake mwenyewe Magufuli.
Magufuli angetaka mkewe aende Kwa Mzena angetoa amri moja tu, hata kwa helikopta angeweza kupelekwa, mbona aliamrisha mpaka Kardinali Pengo aende?
Stories za Magufuli alivyokuwa anaiendesha familia yake zikija kutoka watu watamuangalia Magufuli tofauti.
Kwa story ya Mabeyo ni kama vile familia nzima ilikuwa kept in the dark, mke wake alikuwa Ikulu tu.Uhaba wa taarifa unawafanya watu wakisie sana.
Sijui lawama nyingi ziende kwa nani, ila serikali kwa ujumla wake haiwezi kuzikwepa.
Hivi inajulikana kwa uhakika kwa nini mke wake hakuwepo wakati anavuta pumzi ya mwisho?
Vipi kama alikuwa kaenda tu nyumbani kupumzika kidogo na kuangalia mambo mengine na ikatokea muda ambao hakuwepo wodini ndo mume wake naye akafariki?
Yawezekana kabisa alikuwa yupo hapo kwa Mzena kwa muda mwingi tu lakini si kwa kila sekunde na dakika kwa masaa 24.
Kama umewahi kuuguza, hususan mtu mzima, huwa inatokea muda na wewe unatoka kidogo kwenda labda kuoga, kubadili nguo, na kufanya mambo mengine halafu unarudi tena kuwa na mgonjwa.
Hapa kuna uhaba mkubwa wa taarifa na tunalazimika kuhisi na kukisia baadhi ya mambo maana hata kuugua na kulazwa kwake hatukufahamishwa. Tulisikia habari kupitia njia mbadala.
Tukaja kutangaziwa kifo tu.
Mabeyo kuna mengi hakusema pia.Kwa story ya Mabeyo ni kama vile familia nzima ilikuwa kept in the dark, mke wake alikuwa Ikulu tu.
Labda kwa amri ya Magufuli mwenyewe.
Hilo inaonekana kuwa lilikuwa sharti la Mabeyo. Kwamba ataongea tu bila maswali.Mabeyo kuna mengi hakusema pia.
Lakini na waandishi waliokuwa wanamhoji nao hawakuwa wanauliza follow up questions.
Sijui kwa nini hawakuuliza kwa nini mke wake hakuwepo hapo wodini.
Kwanza sikusikia hata maswali waliyoyauliza. Ni kama vile Mabeyo alikuwa anaongea yeye tu.
Anyway, pasipo na taarifa, watu wata speculate kupita kiasi.
Nitag uzi wa YogaMZee kaeleza kisomi sana kwa mtu mwenyr Ufahamu ataelewa na ataweza kuconnect kwanini hata alikuwa anasema kuwa Hakukuwa na connection ya Moja kwa moja kwa makamu na yeye zaidi ya Rais labda kwenye occasion maalumu...
Ni wazi Kuwa wote hawakumtaka sa100 na ndo maana hata taarifa wakitoa kwanza Dodoma...
Na ndo maana nikisoma uzi wa Yoga nikisililiza na story ya Mobeyo napata sana mawazo
Wewe itakuwa Sukuma gang siwezi kukushangaa kuongea utumbo huu. Yani hii nchi imekuwa geto lako eti Bashiru, uko serious kabisa mtu mzima unaadika huu ujinga humu. Ndio maana ulifeli form 4Bashiru huyu aliyerudisha mali za CCM zilizowashinda vigogo wa chama asingekubali kutoa bure rasilimali za nchi. Wala Bashiru sio kilaza, hata kama humpendi utakubaliana na hilo.
Bashiru sio mtu wa kulalamika na kukosa maamuzi au asijue la kufanya. Wala asingesuasua kuendeleza miradi kama bwawa lingekuwa linazalisha umeme muda.
Hata Majaliwa angekuwa nafuu ya sasa. Yani mkuu wa usalama, PM, KM hawakukosea kwa pamoja kuwa na wasiwasi na huyu "kwa kudra za mwenyezi Mungu"
Una point, hakusimamia vizuri majukumu yake. Alikaa muda wote akakubali wahuni waendelee na mipango miovu huku akijua kuwa wanafanya kinyume. Hata kutangaza ni kutokana na pressure alizokuwa akizipata kuwa kwa nini unashindwa kusimamia katiba...Mabeyo anastahili lawama.
..Kwanini MAKAMU WA RAIS hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa kuwa Rais amefariki?
..Nimemsikia Mabeyo akisema eti kulikuwa na mjadala wa nani atangaze kifo cha Rais.
..Hivi Mabeyo na usomi wake, kutumikia jeshini kwa miongo kadhaa, na kutembelea nchi mbalimbali, hajui nani ana mamlaka ya kutangaza kifo cha Raisi? Kwamba walihitaji majadiliano?
Ndio maana wenye akili wanaona hata Mabeyo hakutimiza wajibu wake. Ni aibu kutamka hayo mbele ya vyombo vya habari.Hilo hata mimi limenishangaza. Lkn hata kama alikuwa hajui hilo, ina maana alishindwa kuwa na mwanasheria ambae angemwambia ni nani mwenye jukumu la kutangaza kifo cha raisi au kiongozi mkuu wa serikali.
Toka lini kifo cha mkuu wa nchi kikatangazwa na katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu huku makamu wa raisi akiwa nchini!
Si mmeshaona watu walishaanza kumdelete the makamu.? Wanaanzaje kumpa atangaze. Jeshi ndio lilimpatia mandate ya kutangazaHilo hata mimi limenishangaza. Lkn hata kama alikuwa hajui hilo, ina maana alishindwa kuwa na mwanasheria ambae angemwambia ni nani mwenye jukumu la kutangaza kifo cha raisi au kiongozi mkuu wa serikali.
Toka lini kifo cha mkuu wa nchi kikatangazwa na katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu huku makamu wa raisi akiwa nchini!
OkNo, na ndo maana mother alimuondoa faster Bashiru ikulu, Bashiru na ndugai kuna jambo walitaka kupindisha ila aliyewatibulia ni mabeyo...
Ndiyo maana hakuna ufanisi wowoteUnamwonea Bashuru tafadhali. Katibu Mkuu Kiongozi ni ngazi ya juu sana ya utawala. Haiendi kwa shule peke yake. Nawashangaa wanaochezea nafasi hiyo kwa kuchaguana kirafiki!!
Kiusalama ndio ilikua sahihi, ndio maana hakuitwa dar haraka.. mabeyo na wenzake walikua katiba inasemaje hivyo kujadili makamu akiwepo ingeonyesha mashaka zaidi wakati makamu mwenyewe anajua wajibu wake....Mabeyo anastahili lawama.
..Kwanini MAKAMU WA RAIS hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa kuwa Rais amefariki?
..Nimemsikia Mabeyo akisema eti kulikuwa na mjadala wa nani atangaze kifo cha Rais.
..Hivi Mabeyo na usomi wake, kutumikia jeshini kwa miongo kadhaa, na kutembelea nchi mbalimbali, hajui nani ana mamlaka ya kutangaza kifo cha Raisi? Kwamba walihitaji majadiliano?
Walikuwa sahihi kwa maslahi yao Sio kwa taifa na huenda wangeiingiza nchi katika migogoro mkubwa sana ya kikatiba, quite possibly vita.At the end hao watu walikuwa sahihi
Kwa maana nyingine walikuwa wanamchukulia poa makamu wa Rais...Mabeyo anastahili lawama.
..Kwanini MAKAMU WA RAIS hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa kuwa Rais amefariki?
..Nimemsikia Mabeyo akisema eti kulikuwa na mjadala wa nani atangaze kifo cha Rais.
..Hivi Mabeyo na usomi wake, kutumikia jeshini kwa miongo kadhaa, na kutembelea nchi mbalimbali, hajui nani ana mamlaka ya kutangaza kifo cha Raisi? Kwamba walihitaji majadiliano?